Kama Ni simu inayokaa na charge..
Boss kuna Samsung
M30s, M40s & M31 zote zinagonga 6000mAh.
Japo kiboko ya battery life kwa sasa ni
Moto G7 Power.....japo ana 5000mAh ila ana power optimazation nzuri kuwapita wenye mAh kubwa..
Mm asaivi Simu yenye Chini ya 4000mAh sinunui...
Japo Kumbuka pia Battery life inakua affected na factor nying sana
Kama
Display Type....
Display quality.....
Chip size/processor...
Refresh rate....
Mfano S20 ultra ana 5000mAh ila kiwango kikubwa cha charge kinatumika ku power 120hz refresh rate, chipset size Snapdragon 865 (7nm+), high quality Dyanamic Amoled display(511 ppi density) n.k n.k..
Kwaio usitarajie Maajabu kwenye battery health kwa kuangalia mAh.