Tuanze na
1.jini mahaba:
hawa ni mapepo ambao wamekuwa wakiingilia ndoa za watu na si tu hapo wakiona ndoa imesimama wako radhi kumuondoa dunian mmoja wa wanaowawekea kipingamizi...mahusiano mengi yameteswa namajini mahaba..majini haya huchukua kwanza ufahamu wa watu na hivyo kuingia kwao inakuwa rahisi...kivipi majini haya hufanya survey nakuona wapi palipo na udhaifu pengine umekuwa ukirudi usiku wa manane na kufanya mwenzako kuwa na hasira mara kwa mara kwenye ndoa basi hapa ndipo wanangangana na wewe mpaka wahakikishe ndoa yako imebaki historia...
kwa upande wa ma bachela
majini haya pia hufanya ngono na /wasio wana ndoa usiku pasipo kujijua ama kwa kujijua...kama umesikia wakati mwingine mtu anaota kavishwa pete ya uchumba lakini..hiini prophetic sign na kama hutoiondoa kwa maombi akika utabaki kuhudhuria engagement party/harusi za wenzio mpaka siku unaondoka dunian....kuna watu awana bwana wala awajaolewa wanaota wamezaa mapacha ..wewe ushtuki ukute mchumab wako amekukimbia huna mwezi leo unaota una mimba ujiulizi..sasa hawa unakuta wanawazalia majaini watoto..sikutishi kuna watu watu wengi wamezalishwa namajini kwenye ulimwengu wa dunia na roho...hili hukamata sehemu za siri kuhakikisha huna haamu kabisa na mwanaume ama mwanamke..kingereza wanaita spiritual husband/wife..kuna wengi ukiuliza watakwambia walishaota wanatoa ama kutolewa mahari lakini kila wakipata wachumba wanaishia kwenye kuvishana pete..sasa wewe ujuilizi utavishwa na wangapi??
2.urithi kwenye ndoa za wazazi:
hili nalo ni muhimu sana ndio maana tunashauriwa ukikua jitahdi kufanya familly mapping yenu..uwezi jua mama aliolewa akiwa na miaka 40 na baba labda akiwa na 45 ukazaliwa we unafurahia kuwepo tu dunian...hili ni somo wakakti mwingine ni laana za wazazi wako zinakufwata..ni kisasi ukiangalia unaweza kuta na bibi aliolewa na miaka kadhaa ukingoni...so ni wajibu wetu kufanya fammy mapping na kuanza kujitoa kwenye laana hii kwa maombi ya kufunga na kuomba na kukesha kumwambia mungu nakataa laana hii kisasi cha ukoo huu taja kwa baba na mama na kamaunajua babu wa babu wa babu yake taja jina ukimalize kabisa ...so utakuta mtu anapambana na hali hii kumbe ni yuko kwenye chain ya kisasi cha familia...aujaona familia baba anachana na mama ,watoto wanaachana na wake zao mapema..ukiangalia kwa bbibi na babu waliachana wakiwa na 45-50 leo wana 75-80 hii laana ..kuwa makini sana ..jivue gamba la laaana za familia zenu usiende kumtesa mwenzio kwa shda za baba na mamakomzazi
3:pitio la uzao wa kwanza:
Hapa naongelea uzao wakwanza..kuna ukisoma vitabu vya bibliautaona uzao wakwanza wengi walikuwa ndio mizigo ya laana za ukoona familia..hawa hubeba majukumu makubwa ya familia na kama we unaefwatia ujawa makini utakuta unasindikiza mustakabali wa maisha yake kwenye moto..sasa basi ukiwa kama mzao wakwanza unaitaji kumuomba mungu akupe ndoa sahihi...kama wwewe ni wapili nk..muhimu sana kumuombea huyu..kwa nini wakati mwingine asipooa hutoaa mpaka unaitwa nani sijui...na si hivyo hawa wazaliwa wa kwanza ni malango wakioa wakachika mapema nakwambia mlango wa wewe kumfwata alichofanya ni mkubwa ni wakati wa wewe kama uzao wakwanza kuomba mungu akupe mke sahihi ilindugu zako waweze kupata kilicho bora
4.laana yakifedha:
Hii nafikiri inajulikana watu wengi ukiliza kwa nini awaoi ama kuolewa watakwambia wanasubiri lifee iwe njema ni kweliakuna anaependa kuwa kwenye familia ilio namatatizo lakini kumbuka ni muhimu kujua wakati huwa aurudi nyuma..unaweza subiri ukakuta muda wako wa kuoa ama kuolewaumepitwa na wakati..ndugu zanguni ni wakati wako wa sasa ukiwakijana kuomba mungu akupe maisha yenye fedha za kutunza famailia yako..umaskini utajiri uko kwenye kinywa chako..tamka mwambie mungu unaitaji nini..nikupe mfano kakangu ajaoa ..mi wakati nafikiria kuoa ilinichukua muda unajua mambo ya wakaskazini usiulize kabila gani tfh....nikamwambia naitaji kuoa akaniambia nakwambia utarudi nyumban unaoa wakati pango la kulipia sinza shuguli kumbuka anaongea hivimi nimepanga yeye yuko kwa wazazi ..nikamwambia mungu ndie anaejua..nashukuru mke wangu tulipendana atuna kitu ila miujiza iliotokea ni mungu tu unamwachia..tulifunga wiki nzima kuomba mungu asimame na nda yetu nilipotoka kwenye ndoa ni sinza kwenye vyumba viwili vya kubanana..tukiwa pamoja huwa napenda kusalilunch time..nikaenda pale universal kanisa la wa brasil..nilipofika j3 kuna maombi ya baraka na kuvunja laana za mafanikio...nikiwa natoka akaja mamamoja akaniambia kaka sikujui unijui nikamwambia k akasema m ni dalali nimeokoka nampenda yesu kuna mtu ana kiwanja anauza mbezi beach ,,million 4.5 robotatu heka nikamwambia mmhh nipe namba yako nikarudi hme nikamkuta wife nikamweleza akasema nipe siku tatu tumulize mungu ..after 3 days tukamwona tukiwa na 3.7 m akasema achukui..akatushit baada ya siku 4 akapiga simu akadai twende tukamwombe anaetuuzia..tulipofika tukamwambia mungu kwanza hiki kiwanja tumekanyaga ni chetu by prophetic sign,yule mzee akakomaa mil 4 nikamwomba tuna 3.7 m akasema dalalimtmlipa nikamwomba dalali nimpe laki yake na nusu mwisho wa mwezi..leo niko mbezi beach ndani yanyumba kubwa tu na uwanja wa kumwaga..usiogope hilo ndilo ujumbe wangu mungu anauwazia mema anajua unapoeelekea kama si mwisho wako..ukifika wakati omba ndoa...