Vizinga vya wanawake vimenifanya niwe single

Vizinga vya wanawake vimenifanya niwe single

akiomba pesa na wewe unaomba show alafu unasikilizia response, ikiwa poa basi unatoa mkwanja alafu una assume ni gharama za mgegedo akishakupa tu pale middle basi unakula kona aendelee kujipiga mzinga mwenyewe simple tu
Mkuu hlo nmejaribu kulifanya, anakwambia ata atujazoeana unataka mzigo ila yy anasahau ata atujazoean lkn vizinga... Mkuu nngekuwa napata mgegedo akiomb kizinga bas isingeniumaa saana
 
Namshukur Mungu.. sikumbuk nilipigwa kizinga lini... sometimes mpak nacheka San.. sio kila siku hela ipo.. nikiwa Sina pesa bebe Ananitoa yaan
Mkuu hongeraa sana,,, ila ukikutana nalo utaona kero yake
 
Sio kila anaeomba hela anakuwa katika process za kupiga vizinga
Kuna yule anaekutest ili aone reaction yako, na kuna yule ambaye ameshakuchoka anakupiga kizinga ili nawewe umute afu ndo iwe nitolee hiyo
Sasa mahusiano hayana ata siku tatu amenichokaje?? Au huoni aibu ata sku tat bado waleta vizingaaa km mvuaaa
 
Back
Top Bottom