Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 530
- 1,031
Habar wakuu..
Mapenz ya zama za zamani yalikuwa mazuri mnoo mana ilikuwa sio rahisi kukutana na meseji za vizinga vya ovyo ovyo mpk inafikia stage mwanaume unaona ngoja nimpatie chochote kitu mubebe huyo.
Lakini zama hzi mapenz yamebadilika saana zaid ya sana, mwanamke ukimtongoza leo kesho keshakuwa yatima hana hela ya kodi, hana hela ya kula, hana hela saloon, mara birthday yake ishafika, mara mchango wa harusi ya rafiki yke ushafika, mara luku imeisha, mara anataka smartphone, mara kesho hyohyo n mgonjwa anataka pesa ya dawaa yaani hadi kero.
Juz kat nilikutana na manzi mmoja tukabadilishana namba sasa kwasababu ya ubize wa hapa na pale ckuweza mtext cku hyo hyo ilipofka cku yapili akanivutia sms ya kusema kwann nipo kimya wakat nimechukua namba yake au nmechukua km pambo, nkaona isiwe kesi mtoto anataka voko huyu bas kupiga sms mbili tatu mtt akajibu amekubaali somoo, ikabidi nmuombe picha zake wasap picha ikaanza mtt akasema hana MB nkaona isiwe shida nkatupa ka buku ajiunge data..... mpk imefika saa mbili usiku naona sms "babe mwenzako sina ata hela ya kula ntumie ata 10000" nkajiuliza maswal penz ata siku tatu bado anaomba hela ya kula hapo mwanzon alikuwa anakula nn?? Nkajiuliza tena au hiki kizinga ni cha registration fee?!!?
Kiukwel hii hali inanitokea kwa wanawake wengi mpaka najiuliza au nina nyota ya kula vizinga tuu mm,,,
Inafika wakat naona bora niwe single kuepuka hz kero za vizingaa vya hawa viumbe.. Au wenzangu mnatumia techniques gan kuepukana na hili balaa la vizinga....