Viwanja vyenye hati vinauzwa-mbezi beach,salasala benaco na kimara. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vyenye hati vinauzwa-mbezi beach,salasala benaco na kimara.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by HAFSA1984, Apr 1, 2012.

 1. H

  HAFSA1984 Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. RESIDENTIAL PLOT: MBEZI BEACH
  SIZE: 936 Sqm (1 plot)
  BEI: MIL 400

  2. RESIDENTIAL PLOT: SALASALA BENACO,.
  SIZE: 3,613 Sqm (2 plots)
  BEI: MIL 300

  3. COMMERCIAL PLOT FOR PETROL STATION :BUNJU A ,ALONG BAGAMOYO ROAD
  SIZE: 1,658 Sqm (1 plot)


  4. RESIDENTIAL/LIGHT INDURSTRY : MPIGI KITUO CHA KILIMO NEAR BREAKTHROUGH SEC SCHOOL
  SIZE: 22,000 Sqm (1 plot)
  BEI: MIL 400

  5. RESIDENTIAL PLOT:KIMARA ALONG THE ROAD FROM TEMBONI TO MATOSA KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD,..SITE INA SHAMBA LA MACHUNGWA NA NYUMBA YA VYUMBA VINNE.
  SIZE: 24,282 Sqm (1 plots)
  BEI: MIL 500

  6. RESIDENTIAL PLOT:BAGAMOYO,KIEMBENI KIHARAKA MAPINGA
  SIZE: 10,000 Sqm (1 plots)
  BEI: MIL 300

  7. RESIDENTIAL PLOT:TABATA KISUGURI
  SIZE: 3,000 Sqm
  BEI :MIL 150

  8.ENEO KUBWA KWA AJILI YA MIRADI MIKUBWA,LIPO KANDO YA BARABARA INAYOUNGANISHA MJI WA KIBAHA NA BAGAMOYO ROAD (BAOBAB).
  SIZE ;HEKA 94
  BEI ; MIL 500


  N.B:
  MAENEO YOTE YAMEPIMWA NA YANA HATI MILIKI,.
  MAZUNGUMZO KUHUSU BEI YANARUHUSIWA..

  KWA MAWASILIANO ZAIDI: +255 715 478 478, +255 787 478 478
  na 0774 478 478
   
 2. N

  NALO LITAPITA JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Sasa hii inakujaje ktk jukwaa la siasa mkuu?
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu nilidhani vinauzwa Arumeru mashariki! Uchaguzi unaendeleaje huko Salasala
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Duh bei hizo hazishikiki kwa kipato cha mdanganyika
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kama kiwanja tu ni milioni 400 bei ya ujenzi wa nyumba je?
   
 6. H

  HAFSA1984 Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu watanzania naombeni muwe wathubutu na sio wapiga porojo hizo ni bei halali kabisa kwa mtanzania anayeishi tanzania nadhani mwenye nie ya dhati na mwenye kuthubutu atafanya mawasiliano na mimi ya kibiashara
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kuliko Ninunue Kiwanja Bongo kwa Milioni 300 si Bora Nikanunue Kasri Dubai. Nasikia Dubai Ukiwa na Milioni 200 unapata Jumba fresh kabisa
   
 8. N

  NALO LITAPITA JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  tafuta jukwaa la biashara hapa sasa tunataka issue zinazoendana na jukwaa kama vile khali ya upigaji kura arumeru
   
 9. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  afadhali kununua YUTONG!!
   
 10. kisururu

  kisururu JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mmefanya watu wote mafisadi,hizo bei vipi? Kawape habari hizo watu wa sisiem mafisadi wenzio
   
 11. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  hiyo ni migodi?
   
 12. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Ukipata cha milioni moja mpaka kumi na tano niambie,kha!
   
 13. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  kwasbabu wanasiasa ndio wenye pesa
   
Loading...