Plot4Sale Viwanja vyenye hati kinauzwa mbezi mwisho

mmewadadako

JF-Expert Member
Mar 29, 2019
458
1,000
-Eneo linapatikana mbezi mwisho stand karibu na soko la mbezi

-Eneo ni kubwa limekatwa viwanja vidogo vidogo 5 vyenye sqm 400 ( 20 kwa 20) na vyote vina hati

-eneo haliko bondeni liko sehemu nzuri

-barabara ni nzuri ya kufika kwenye eneo

-huduma muhimu ziko karibu

bei kwa kila plots ni mil 20

mawasiliano : 0765 494548

kwa muwekezaji mkubwa unaweza kuchukua lote ukajenga hotel au gest maana stand ya mabasi ya mbezi soon inahamishiwa mitaa hio hio
20201127_155744.jpeg
20201127_155742.jpeg
20201127_160256.jpeg
 

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
5,230
2,000
Hiii inaitwa Fursa nifurusue yani 20 x 20 = 20M shubhaaaamiiit,mbezi pamekua hot cake eeeh
 

spleen

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
2,233
2,000
Acha basi kuchekesha walionuna....... Hata kama ni njaa yako imezidi mama, plot Square meter 400 kwa milioni 20,ya zimbabwe ama?
 

mmewadadako

JF-Expert Member
Mar 29, 2019
458
1,000
bei ni reasonable kabisa ...bei elekezi ya serikali hapo chini wakuu ya mwaka 2018 ..mbezi luis kwa kiwanja cha makazi ni kati ya 50000 -80000
Screenshot_2020-11-28-18-11-53-1.jpeg
 

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
Kiwanja kinauzwa
Kipo kongowe lamlam Dar es salaam

Size ya eneo ni futi 35 kwa 60

Kimepimwa na hati zipo.

Huduma zote za kijamii zipo

Bei ni Tshs 6.5 milion

Tuwasiliane; 0744033555
 

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
10,079
2,000
Kiwanja kinauzwa
Kipo kongowe lamlam Dar es salaam

Size ya eneo ni futi 35 kwa 60

Kimepimwa na hati zipo.

Huduma zote za kijamii zipo

Bei ni Tshs 6.5 milion

Tuwasiliane; 0744033555
Umbali gani kutoka barabara ya lami?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom