Viwanja vya maliyamungu popte vilipo tz vitakua salama, na hivyo unavyoviulizia wewe vipo na sijawahi kuskia vimerudishwa kwa wanachi, kuna wazir mmoja alijifanya anataka kukomaa nae sijui aliishia wapi..!? Kama skosei alikua lukuvi, ukitaka kuacha kazi ulizia hilo, kwa sasa hakuna atakaethubutu kuchunguza achilia mbali kuulizia ama kuhoji hili!