Viwanja vya Makonda vimeishia wapi?

Viwanja vya Makonda vimeishia wapi?

pacoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
650
Reaction score
415
Jamani viwanja vya bwana mdogo makonda vp? Vimeishia wapi? Mbona kimya sana, watumishi wa umma Dar tujibuni mmeshapata?
 
Viwanja vya maliyamungu popte vilipo tz vitakua salama, na hivyo unavyoviulizia wewe vipo na sijawahi kuskia vimerudishwa kwa wanachi, kuna wazir mmoja alijifanya anataka kukomaa nae sijui aliishia wapi..!? Kama skosei alikua lukuvi, ukitaka kuacha kazi ulizia hilo, kwa sasa hakuna atakaethubutu kuchunguza achilia mbali kuulizia ama kuhoji hili!
 
Jamani viwanja vya bwana mdogo makonda vp? Vimeishia wapi? Mbona kimya sana, watumishi wa umma Dar tujibuni mmeshapata?
Fools For Four Forms Fighting For Food
 
Jamani viwanja vya bwana mdogo makonda vp? Vimeishia wapi? Mbona kimya sana, watumishi wa umma Dar tujibuni mmeshapata?

Huyo jamaa hajawahi kufanikiwa kitu chochote zaidi ya kushika akili za baba yake.
 
vipo element ukienda jumamosi utavikuta nayeye mwenyew atakuwepo
 
Wale ndugu zetu waliopoteza baadhi ya viungo vya mwili pia waliahidiwa kupatiwa viungo vya bandia nao vipi?
 
Back
Top Bottom