Viwanja vya Honey moon Tanzania tu

Viwanja vya Honey moon Tanzania tu

Honeymoon zenyewe zengwe tu maharusi washaishi wote miaka mia style zote washamaliza basi huko hanimuni ni vurugu kunyang'anyana remote bi harusi anataka kuchek tamthilia bwana harusi anataka mpira!!!
bora wakapande Mt.kilimanjaro wataenjoy ila huko chumbani aah hamna kipya

ha h ha ha ha ha
 
Hongera zako Mkuu hivyo ndivyo inavyotakiwa. Kwenda viwanja vilivyotulia na wife kujirusha kwa raha zenu wiki au hata wiki mbili kama mfuko unaruhusu.

Hahahahaha! Ukweli sana!

Matema Beach! Nasikia kuzuri. Naenda December hii. Mimi huwa sisubirii honey moon. Kila mwaka mara 2 au 1 lazima twende sehem na muke!
 
Eti honeymoon wakati kitu kimeshakuwa used na ku expire!
Honeymoon zenyewe zengwe tu maharusi washaishi wote miaka mia style zote washamaliza basi huko hanimuni ni vurugu kunyang'anyana remote bi harusi anataka kuchek tamthilia bwana harusi anataka mpira!!!
bora wakapande Mt.kilimanjaro wataenjoy ila huko chumbani aah hamna kipya
 
Siku hizi nimezeeka majukumu mengi sijui hata viwanja,kama hawajawahi kukutana kimwili kabisa kweli wanahitaji sehemu nzuri nadhani Zanzibar watainjoi,ila kama walishakutana hakuna jipya wapelekeni wakafanye utalii Serengeti au Ngorongoro watafurahi sana na kujifunza mengi.
 
hata huna haja ya kuhangaika, nenda serena tu pale, unachukua chumba cha juu mwisho kabisa usawa wa bahari, yani kile chumba unafuliwa hadi pupi yako.... ukikaa kule kama uko ulaya, utasahau madeni yote... pesa sasaaa $3500 per day...

wanapokea hadi ya mwezi mzima usijali, wahi kwani nafasi ni chache

Hiyo bei una uhakika nayoo
 
Evelyn Salt ..ndio mana resort (not hotel) hua haweweki Tv
 
Last edited by a moderator:
Kupoteza pesa tu,watu wameshabinuana style zote,then wanaenda honeymoon kufanyaje asa?
 
hata huna haja ya kuhangaika, nenda serena tu pale, unachukua chumba cha juu mwisho kabisa usawa wa bahari, yani kile chumba unafuliwa hadi pupi yako.... ukikaa kule kama uko ulaya, utasahau madeni yote... pesa sasaaa $3500 per day...

wanapokea hadi ya mwezi mzima usijali, wahi kwani nafasi ni chache

Yaani Honeymoon mwezi, you mean $ 3500 x 30 = Tshs. 3500 x 30 x 1711.50 = 179,707,500 approx. Tshs. 0.18 billion?
 
Siku hizi nimezeeka majukumu mengi sijui hata viwanja,kama hawajawahi kukutana kimwili kabisa kweli wanahitaji sehemu nzuri nadhani Zanzibar watainjoi,ila kama walishakutana hakuna jipya wapelekeni wakafanye utalii Serengeti au Ngorongoro watafurahi sana na kujifunza mengi.

Mkuu honimoon inahusianaje na kupeana papucci na tarimbo?
 
Hahahahaha! Ukweli sana!

Matema Beach! Nasikia kuzuri. Naenda December hii. Mimi huwa sisubirii honey moon. Kila mwaka mara 2 au 1 lazima twende sehem na muke!
yaa Matema beach ni mahali pazuri sana,
 
Back
Top Bottom