Viwanja vya Honey moon Tanzania tu

Viwanja vya Honey moon Tanzania tu

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Habari za mchana, usiku, jioni, etc., wana MMU

Nimestaafu rasmi kupost humu MMU, lakini leo nimelazimika kufanya hivyo kwa sababu muhimu kabisa.

Naomba tupeane taarifa kuhusu viwanja vizuri vya Honeymoon hapa nchini. Wewe usiogope, taja hata kama kipo Nyamongo, Ikizu, Msondosondo, Sumbawanga, etc

Cha msingi hapa tunatafuta mazingira ya kipekee kwa ajili ya wawili hao kupeana puchi, tarimbo na manjonjo mengine bila limit.

Nafanya hivi kwa niaba ya ndugu zangu wanaooana hivi karibuni, mie ni mwenyekiti wa kamati. Hela ya Honeymoon tumeshatenga ya kutosha, sasa itatumikaje na wapi?

Msaada wenu tafadhali:
tinna cute miss chagga Evelyn Salt mwekundu everlenk Honey Faith nyumba kubwa BADILI TABIA masai dada miss neddy lara 1 Preta Matola mzabzab, na wengine wote.
 
nenda mbugani mpeane stata mkiona wanyama wanagusana gusana .....
 
Honeymoon ni kuangalia tu mahali tulivu popote.
Sidhani kama kuna cha kufanya kule maana maharusi wote nawaona wakiwa wajawazito ambao wameshachoka kabisa; sana sana ni kupumzika tu.

Hahahahaha! Ukweli sana!

Matema Beach! Nasikia kuzuri. Naenda December hii. Mimi huwa sisubirii honey moon. Kila mwaka mara 2 au 1 lazima twende sehem na muke!
 
Habari za mchana, usiku, jioni, etc., wana MMU

Nimestaafu rasmi kupost humu MMU, lakini leo nimelazimika kufanya hivyo kwa sababu muhimu kabisa.

Naomba tupeane taarifa kuhusu viwanja vizuri vya Honeymoon hapa nchini. Wewe usiogope, taja hata kama kipo Nyamongo, Ikizu, Msondosondo, Sumbawanga, etc

Cha msingi hapa tunatafuta mazingira ya kipekee kwa ajili ya wawili hao kupeana puchi, tarimbo na manjonjo mengine bila limit.

Nafanya hivi kwa niaba ya ndugu zangu wanaooana hivi karibuni, mie ni mwenyekiti wa kamati. Hela ya Honeymoon tumeshatenga ya kutosha, sasa itatumikaje na wapi?

Msaada wenu tafadhali:
tinna cute miss chagga Evelyn Salt mwekundu everlenk Honey Faith nyumba kubwa BADILI TABIA masai dada miss neddy lara 1 Preta Matola mzabzab, na wengine wote.

wapelekeni SINGITA GRUMETI.

http://singita.com/regions/singita-grumeti/
 
nenda mbugani mpeane stata mkiona wanyama wanagusana gusana .....

Tena za huko tamu unapiga ukisikia mngurumo wa simba unakausha unakula rada kwanza manaake hukawii kula mkeo na we ukatafunwa na simba

Ila si unajua tena vile vya wasiwasi vinavyokuaga vitamu???:smile-big::smile-big:
 
Ideal place is A town serengeti kama wallet linaruhusu
 
hata huna haja ya kuhangaika, nenda serena tu pale, unachukua chumba cha juu mwisho kabisa usawa wa bahari, yani kile chumba unafuliwa hadi pupi yako.... ukikaa kule kama uko ulaya, utasahau madeni yote... pesa sasaaa $3500 per day...

wanapokea hadi ya mwezi mzima usijali, wahi kwani nafasi ni chache
 
nenda kwa mtogole,uwanja wa fisi kwa dsm, igogo,bugarika,nyakabungo au mabatini kwa mwanza nyangoto,korutambe,nyamwaga,nyamongo kwa mkoa wa mara, kashai,kashozi,rwamishenye, hamugembe mkoa wa kagera achague yeye tu
 
Umevurugwa wewe si bure!!
 
Honeymoon zenyewe zengwe tu maharusi washaishi wote miaka mia style zote washamaliza basi huko hanimuni ni vurugu kunyang'anyana remote bi harusi anataka kuchek tamthilia bwana harusi anataka mpira!!!
bora wakapande Mt.kilimanjaro wataenjoy ila huko chumbani aah hamna kipya
 
Tena za huko tamu unapiga ukisikia mngurumo wa simba unakausha unakula rada kwanza manaake hukawii kula mkeo na we ukatafunwa na simba

Ila si unajua tena vile vya wasiwasi vinavyokuaga vitamu???:smile-big::smile-big:

:smile-big::smile-big: kama vile vya vichakani ni adventure
 
Back
Top Bottom