Viwanja vya bei rahisi Dar

Hivi ekari kwa Kiswahili ni acre(4047m[SUP]2[/SUP]) au ni hectare(10,000m[SUP]2[/SUP])?
 
Jamani kama kuna viwanja vya bei kuanzia 3mln kushuka chini kigamboni tujulishane kwa yeyote anaejua..Nina uhitaji
 
Mimi nina cha kwangu (kiwanja) kipo Kibaha Visiga madafu; approximately robo eka (almost hatua ndefu 44 kwa 46), TSH 8,000,000 fixed price; ni kizuri, karibia km 1 toka main road (morogoro road), karibu na kiwanda cha wachina na godown la Kilimanjaro express, karibu na barabara, umeme upo karibu, pia mtandao wa maji ya bomba. Ni eneo flati na ndani kuna miembe dodo na sindano, inazaa sana, tthamani yake inapanda kila leo coz wawekezaji wengi wanahitaji maeneo hayo, hasa wachina na pia ni mji unaokua sana! 0652656565
 
SAM_0006.JPG
mkuu eneo hili linauzwa limepimwa na lina ukubwa wa ekari 3 lipo karibu na barabara iendayo shule ya sekondari goba mpakani(eneo linaanzia hapo mwanzo wa barabara kuelekea kushoto na ni ukubwa wa ekari 3 limewekewa nguzo za zege kwa ajili ya mipaka ukihitaji tuwasiliane 0784821832
 
mkuu kama uko makini kuna eneo linauzwa la ekari3 na mjingine lina ekari2.5 lipo madale GOBA MPAKANI LIMEPIMWA. SAM_0003.JPG
ENEO LIMEZUNGUSHIWA NGUZO ZA ZEGE LIPO KARIBU NA BARABARA IENDAYO SHULE YA SEKONDARI GOBA MPAKANI
TUWASILIANE UKIHITAJI KULIONA
0714812375
 

Attachments

  • SAM_0004.JPG
    SAM_0004.JPG
    1.9 MB · Views: 78
Back
Top Bottom