Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
508
Reaction score
401
Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.

Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345.
@prathlimited
 
Attachments

  • 01039bae-8fd5-4654-be14-3011bc253b14_0_watermark.jpeg
    01039bae-8fd5-4654-be14-3011bc253b14_0_watermark.jpeg
    474.8 KB · Views: 15
Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.

Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345.
@prathlimited
Tuma picha za hatimiliki tuone,
 
Madali siyo watu wazuri kwa kweli
 
Kuna nyumba tabata tumemfuata mwenye nyumba ni 40mil ..
Madalali wapo kwenye 70m.
Tumewazunguka kwa mmiliki full minuno
Hivi Tanzania imeshindakana kabisa kuwa na website ya kitaalam ambayo watu wataitumia kwa kuuza nyumba na viwanja au kutangaza nyumba za kupanga kwa ada ndogo? Nyingi naona ni social media halafu madalali wenye hawako professional hata kidogo na pia wana tamaa za mzee fisi. Unakuta wanapandisha bei mara dufu na pia unaambiwa eti ukitaka kwenda kuona sehemu/nyumba, unalipia. Ujinga gani huu! Kwa mjasiriamali yoyote anayeangalia mbali, akianzisha website na kutoza reasonable fee atapata soko kubwa.
 
Bei za nyumba bongo ni kichekesho! uwa naona bei nacheka sana maana hizo bei unaweza pata bonge la nyumba huko La Manga, Cartagena, Cancun au Dubai/Sharjah, eti niwe na million 750 nikanunue nyumba kibaha, bongoland ...nimerogwaaa???Ila kuna washamba wasio na exposure watakua wanavaa hio mikenge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom