Viwanja viwanja viwanja

Viwanja viwanja viwanja

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
663
Reaction score
100
Vipo Goba mtambani 12km kutoka makongo ama unaweza pitia mbezi tangi bovu kabla hujafika goba mwisho kama ukipitia mbezi. Vimepimwa ukinunua unatengeneza hati kwa jina lako. bei ni 13000 kwa mita moja ya mraba mfano unataka mita za mrab 500: 500 x 13000= 6.5million. viwanja vipo 25 hivyo kuwahi ndio mpango mzima. kwa mawasiliano piga 0713 348165 ukihitaji upelekwe kuviona. unaweza chagua hapa ktika picha pia. karibuni
 
hivi 40x40 ni sawa na mita za mraba ngapi?

kwa hesabu za darasa la tatu ktk kutafuta eneo la square =(urefu x upana)= square area, ndo kusema nadhani 40x40 ni sawa sawa na square mita 1,600. Ni kaeneo kazuri sana kwa ujenzi haka unaweza kujenga ka-bangaroo kazuri sana hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom