Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mpiji Magoe

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mpiji Magoe

Sonship

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
263
Reaction score
337
Viwanja viwili vinauzwa mpigi magoe
Unashuka kituo kinaitwa Machimbo
Ukubwa Mita 20/20 vipo viwili
Kila kimoja bei Mln 5.5
Kipo kiwanja kingine
Cha Mln 5.5
Maongezi yapo kidogo
0775 179905
1757498534482.jpg
 
Viwanja viwili vinauzwa mpigi magoe
Unashuka kituo kinaitwa Machimbo
Ukubwa Mita 20/20 vipo viwili
Kila kimoja bei Mln 5.5
Kipo kiwanja kingine
Cha Mln 5.5
Maongezi yapo kidogo
0775 179905
Kwa mpingi magoe hiyo pesa ni kubwa sana tena jingine huko kunaja maji majira ya mmvua.
 
Machimbo unaekea uelekeo gani baada ya kushuka ? Kama unaenda kanisani kule au huu upande wa pili bonden ?
 
Kwa mpingi magoe hiyo pesa ni kubwa sana tena jingine huko kunaja maji majira ya mmvua.
Ndugu unapajua mbezi mpigi magoe kituo cha Machimbo??Hebu nenda kafanye research then urudi hapa kuandika comments upya
 
Ukipelekwa mvua ikiwa inanyesha huko unagairisha siku hio hio kununua kiwanja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom