Viwanja Vinauzwa Kerege-Bagamoyo

H.M.MUYANGO

Senior Member
Mar 6, 2014
110
9
Nikiwa kama mmoja wa wamiliki wa kiwanja eneo hilo la Kerege Bagomoyo! Nawatangazia wahitaji kupata viwanja kwa bei nzuri katika hali ya uaminifu na ukweli.Ni viwanja Vyenye Ukubwa Wa 20kwa20 na bei yake ni Sh.3,500,000/= (HAKUNA UTAPELI WALA UBABAISHAJI VIWANJA BADO VINAUZWA NA WENYEJI WANAOISHI MAENEO YALE! KUNANGUZO ZA UMEME ZIMEFIKA HUKO! MAJI YANAPATIKANA PIA! UNAWEZA KUKIPIMA KIWANJA CHAKO! KWAKUWA WATU WENGINE WANAPIMA VIWANJA VYAO MPAKA SASA KWA KUFUATA TARATIBU ZOTE) CALL;0719586416.
 
Wewe unaonekana dalali haya maneno yote si ungesema tu 1km or 2km or 1m, 3m , 500m ungeeleweka vizuri. kwanini unaficha information?

ni biashara kwa hiyo nimekupen tangazo na kama unahitaj piga simu kama hutaki kaa kimya! kama mimi ni dalali wewe ni marketing manager okey! haikuhusu tuwe na adabu na tueshimiane sio lazima ukomenti na wewe uonekane umekomenti!
 
Mbona hasira tena mkuu?
 
Jamaa inaonekana anapenda kupigiwa simu powa bana sina vocha nikiweka nakupigia hila nakaa mapinga hapa
 
ni biashara kwa hiyo nimekupen tangazo na kama unahitaj piga simu kama hutaki kaa kimya! kama mimi ni dalali wewe ni marketing manager okey! haikuhusu tuwe na adabu na tueshimiane sio lazima ukomenti na wewe uonekane umekomenti!

Duh hasira za nini sasa. Kama umeamua kuweka tangazo hadharani basi weka kila kitu hadharani watu waone na waamue.

Biashara tunaifanya ngumu wenyewe afu tutabakia tukilaumu chuma ulete
 
Back
Top Bottom