Viwanja vinakopeshwa bila riba Chanika, Dsm

Viwanja vinakopeshwa bila riba Chanika, Dsm

Havijapimwa mkuu tunauza kikawaida ila tu Navyo vilivyo pimwa ila bei yake iko juu alafu hatuvikopeshi ukifika CHANIKA kuna njia inaelekea mbagala ama mvuti
 
Jipatie Viwanja Sasa kwa bei nafuu kabisa Ambavyo Vipo kwenye maeneo mazuri ya ujenzi Pia viwanja vinakopeshwa utaweza kulipa kidogo kidogo ndani ya miez 6 Viwanja Vipo CHANIKA DSM Mjini na pembezoni Bei nikuanzia mil 1.2
Ukubwa wa viwanja ni 20 *20, 20*40, 40*40
#0682302250
#0679570897
 
Inategemea umechagua vya bei gani mkuu maan bei zina tofautiana
 
Chanika maeneo gani?
Vipi kuhusu miundombinu, barabara, umeme, na maji?
 
Huyu jamaa nae ni jipu.. Kafungua thread kibao bila kujibu maswali kwenye thread za nyuma..
 
Maeneo ni zingiziwa, Namanga, kidugalo, Saranga, kibaoni, na mvuti Pia Huduma za kijamii zipo
 
Chanika sehemu gani?..umbali kutoka main road,.
Huduma zinazopatikana karibu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom