Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa Mtwara mjini

Mzani

Member
Nov 12, 2010
80
5
Salaam wana JF

Ninauza viwanja vya makazi, vipo eneo la mjimwema mtwara mjini

Eneo ni zuri sana na ni tambarare. Bara bara zimeshachongwa, hakuna umeme, hakuna maji

Viwanja ni sqm 450 (15 kwa 30) TSh 3,700,000 na sqm 600 (20 kwa 30) Tsh 4,800,000

Gharama hii inajumuisha upatikanaji wa hati (kufuatilia hati ni jukumu langu)

Kwa mawasiliano zaidi tumia namba 0713 694348

Karibuni
 
Dah......fursa hizi.......mliopo karibu changamkieni fursa.........
 
Viwanja bado vipo

Kwa wale ambao hawapajui vizuri mjimwema

ni eneo jipya na ndio linaanza kuendelezwa, kuna eneo la chuo cha TIA ambapo awamu ya kwanza wameshajenga lecture hall, kuna eneo la chuo cha SAUTI (Kwa sasa jina limebadilishwa kwa huku mtwara) halijaendelezwa, kuna eneo la AICC ile ya Arusha halijaendelezwa, kuna viwanja kama 200 vilivyo pimwa na serekali mwaka juzi na watu walishavinunua, bara bara imeshachongwa na viwanja vyote vinafikika vizuri. sehemu ya mbele ndio kuna mradi wa kupima viwanja ukiwa chini ya UTT na manispaa husika lakini mradi huo unamgogoro wa fidia.

Kwa hiyo wewe kama mdau, ukinunua kiwanja/viwanja hivi ni faida kubwa kwako kutokana na eneo lenyewe na mipango iliyopo.

Wekeza kwenye ardhi, mtwara kuchele
 
Nataka kiwanja msangamkuu nipe taarifa

Ndugu

Mimi sina eneo pale msangamkuu,
ila kuna watu wanamaeneo yao, wengine wanauza vipande visivyo pima.

Mimi nina viwanja eneo la mjimwema tu na ni viwanja vilivyo pimwa

Karibu
 
Wengine siyo wenyeji sana wa Mtwara. Nisaidie mkuu ukiwa kwenye barabara ya TANU, pale Bima unaelekea upande upi ufike Mjimwema na kuna umbali gani kutoka katikati ya mji?
 
Sawa

Tukianzia round about ya mnarani kabla ujaingia hiyo bara bara ya tanu unayoisema ambayo inaelekea bima hadi parishkanisani. Kuanzia hapo round about unaelekea mikindani (mji mkongwe) njia yakwenda lindi,. kutoka round about mpaka mikindani ni kilometa 10, kutoka .mikindani unaancha bara bara ya lami unaungia kushoto kuelekea mjimwema ni kama km 4.
Mjimwema ni eneo ambalo lipo kwenye mwinuko ukiwa mwanzoni mwa mwa mwinuko huo bahari iliyopo upande wa mikindani inaonekana vizuri sana na inaleta manzari nzur.i sana na ndio sehemu ambayo TIA na SAUTI viwanja vyao vilipo.

Kama haujatoshelezwa na maelekezo tafadhari uliza.
Na naomba wadau mnaoijua mtwara mnikosoe kama nimekosea.

Kwa ujumla naweza kusema kwamba kutoka center ya mtwara ambayo nafikiri ni maeneo ya bima mpaka mjimwema kadirio la chini ni km 15, kadirio la juu ni km 17/18, ninasema hivyo kutokana na bara bara utakayopita kutokea mikindani, na eneo la mjimwema ni kubwa sana na tambalale lote.

Kuna njia nyingine kupitia mbae ambayo ni karibu zaidi kama km 11 kutoka center lakini kwa sasa hai.pitiki kwa gari,. ni pkpk tu
 
Sawa

Tukianzia round about ya mnarani kabla ujaingia hiyo bara bara ya tanu unayoisema ambayo inaelekea bima hadi parishkanisani. Kuanzia hapo round about unaelekea mikindani (mji mkongwe) njia yakwenda lindi,. kutoka round about mpaka mikindani ni kilometa 10, kutoka .mikindani unaancha bara bara ya lami unaungia kushoto kuelekea mjimwema ni kama km 4.
Mjimwema ni eneo ambalo lipo kwenye mwinuko ukiwa mwanzoni mwa mwa mwinuko huo bahari iliyopo upande wa mikindani inaonekana vizuri sana na inaleta manzari nzur.i sana na ndio sehemu ambayo TIA na SAUTI viwanja vyao vilipo.

Kama haujatoshelezwa na maelekezo tafadhari uliza.
Na naomba wadau mnaoijua mtwara mnikosoe kama nimekosea.

Karibu

Asante mkuu nimekupata vizuri sana, kumbe ndiyo sehemu yenyewe, ni eneo zuri kwa makazi, licha eneo hilo kwa sasa kuonekana kama pori, ujenzi ukianza patabadilika. Kiwanda cha saruji cha Dagote kipo mbele ya Mjimwema ukielekea Lindi kama sijakosea.
 
Salaam wana JF

Ninauza viwanja vya makazi, vipo eneo la mjimwema mtwara mjini

Eneo ni zuri sana na ni tambarare. Bara bara zimeshachongwa, hakuna umeme, hakuna maji

Viwanja ni sqm 450 (15 kwa 30) TSh 3,700,000 na sqm 600 (20 kwa 30) Tsh 4,800,000

Gharama hii inajumuisha upatikanaji wa hati (kufuatilia hati ni jukumu langu)

Kwa mawasiliano zaidi tumia namba 0713 694348

Karibuni

Mji mwema ni pazuri sana. Kwa Dar ni kama kule Changanyikeni. Ukiwa Mji Mwem, Mikindani unaiangalia kwa chini. Eneo hilo ni prime ambapo vyuo vya TIA, STEMMUCO na Utumishi wemepewa Viwanja ili vyuo vijitanue huko. TIA wao washaanza ujenzi. Ni fursa, ningekuwa niko vizuri mwez huu January a.k.a Mwez dume ningechukua kimoja
 
Utajaaliwa utapata pesa, yote yanawezekana.
Karibu
 
Asante mkuu nimekupata vizuri sana, kumbe ndiyo sehemu yenyewe, ni eneo zuri kwa makazi, licha eneo hilo kwa sasa kuonekana kama pori, ujenzi ukianza patabadilika. Kiwanda cha saruji cha Dagote kipo mbele ya Mjimwema ukielekea Lindi kama sijakosea.

Safari imeshaanza ni kuthubutu tu
Bara bara zimeshachongwa,Watu wameanza kusogeza mchanga/matofali nk

Karibu sana
 
Utajaaliwa utapata pesa, yote yanawezekana.
Karibu

Ahsante. Poleni huko Mtwara kwa mafuriko. Ni mji ambao kabla ya watu kuwa wengi mafuriko ilikuwa ni nadra. Ila kwa sasa hata msimu uliopita wa mvua Mtwara wali experience heavy flooding.

Nitajitahidi kaka mambo yakiwa bam bam nitakuja!
 
Sawa

Tukianzia round about ya mnarani kabla ujaingia hiyo bara bara ya tanu unayoisema ambayo inaelekea bima hadi parishkanisani. Kuanzia hapo round about unaelekea mikindani (mji mkongwe) njia yakwenda lindi,. kutoka round about mpaka mikindani ni kilometa 10, kutoka .mikindani unaancha bara bara ya lami unaungia kushoto kuelekea mjimwema ni kama km 4.
Mjimwema ni eneo ambalo lipo kwenye mwinuko ukiwa mwanzoni mwa mwa mwinuko huo bahari iliyopo upande wa mikindani inaonekana vizuri sana na inaleta manzari nzur.i sana na ndio sehemu ambayo TIA na SAUTI viwanja vyao vilipo.

Kama haujatoshelezwa na maelekezo tafadhari uliza.
Na naomba wadau mnaoijua mtwara mnikosoe kama nimekosea.

Karibu

Uko sahihi. Ni eneo tambarare kabisa. Ni juu kule kabisa pale Mikindani. Kiu halisia mji wa Mikindan ulipaswa uwe pale.

Na ndiyo maana nilisema iko kama Changanyikeni Dar ambapo ukiwa kule juu Dar unaiona yote. Na mji mwema ni hivyo hivyo.

Vipi pale Kilimahewa huna plot!

Kuna mtu alinionyesha beach za Msangamkuu ziko vizuri aisee
 
je tunaruhusiwa kulipa kwa installements

Ninaweza kupokea pesa kwa installments katika mazingira ya kukubaliana,

kwa sababu, mtu akinunua kiwanja leo inabidi kesho nikafuatiliie hati ambayo itakua kwa jina lake kulingana na mkataba tuliosaini, na mchakato wa hati una gharama zake.

Changamoto inakuja pale ambapo hati imeshatoka na muhusika halipi deni.
Ndio maana nasema inawezekana kwa makubaliano ambayo hayataleta usumbufu baadae kwa pande zote mbili.

Nafikiri umenielewa vizuri, vinginevyo unaweza ukaniuliza zaidi

Karibu
 
Uko sahihi. Ni eneo tambarare kabisa. Ni juu kule kabisa pale Mikindani. Kiu halisia mji wa Mikindan ulipaswa uwe pale.

Na ndiyo maana nilisema iko kama Changanyikeni Dar ambapo ukiwa kule juu Dar unaiona yote. Na mji mwema ni hivyo hivyo.

Vipi pale Kilimahewa huna plot!

Kuna mtu alinionyesha beach za Msangamkuu ziko vizuri aisee

Ndugu Chaza

Nashukuru kwa unayoyasema na ni kweli.

Kuhusu kilimahewa, binafsi sina plot maeneo yale, ila wapo watu wanaouza kutokana na sababu zao binafsi.
Kwa ujumla plots zipo, ila bei ndio ipo juu.

Karibu mdau
 
Ahsante. Poleni huko Mtwara kwa mafuriko. Ni mji ambao kabla ya watu kuwa wengi mafuriko ilikuwa ni nadra. Ila kwa sasa hata msimu uliopita wa mvua Mtwara wali experience heavy flooding.

Nitajitahidi kaka mambo yakiwa bam bam nitakuja!

Du aise, tunashukuru

Hiyo ni changamoto ya maendeleo, mtwara watu wanajenga kwa kasi na miundombinu iliyopo haikidhi kulingana na ukuaji wa mji. Hili suala litatatuliwa kwa sehemu ya mitaa, ila maeneo mengine ni issue, viwanja vya mjimwema pia ni sehemu ya suluhisho

Karibu sana
 
Viwanja bado vipo,

Wekeza kwenye ardhi.

Idadi ya watu inazidi kuongezeka kila kukicha

Na ardhi nayo haiongezeka ila inapanda thamani.

Nunua kiwanja kilicho pimwa kabla havijapanda thamani.

Karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom