mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,505
- 138,384
viko kigamboni amani gomvu viwanja hivyo viko karibu na bahari ....kwa wale wanao ifahamu changani beach hotel and reasort basi hivyo viwanja viko karibu na hotel hiyo.upepo wa bahari unaupataaa na bahari unaiona kwa mbali.sqmt 1 ni sh 15000...kuna mdau aliniletea mchoro wote wa huko yani survey plan nnao nmeona nisiwe mchoyo niwafahamiahe wana jf ambao watataka....kwa ambaye yuko serious ani pm.natanguliza salam na nawatakia jumapili njema