viwanja vikindu Mkuranga

viwanja vikindu Mkuranga

Amos87

Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
33
Reaction score
2
Habari zenu wana jf jamani kunaviwanja vinauzwa hatua za mtu mzima 20 kwa 20 nyuma ya kiwanda cha Azam cola kilongoni vikindu mkuranga ni 5 km toka pale Azam cola na ni 25km toka sokoni kariakoo bei ni Tshs 2000,000/ kwa atakae ani pm pia gari inafika hadi katika viwanja
 
Habari zenu wana jf jamani kunaviwanja vinauzwa hatua za mtu mzima 20 kwa 20 nyuma ya Azam cola kilongoni vikindu ni 5 km toka pale Azam cola na ni 25km toka sokoni kariakoo bei ni Tshs 2000,000/ kwa atakae ani pm pia gari inafika hadi katika viwanja

Vikindu KURANGA ndiyo wapi huko
 
Habari zenu wana jf jamani kunaviwanja vinauzwa hatua za mtu mzima 20 kwa 20 nyuma ya Azam cola kilongoni vikindu ni 5 km toka pale Azam cola na ni 25km toka sokoni kariakoo bei ni Tshs 2000,000/ kwa atakae ani pm pia gari inafika hadi katika viwanja

Nikitaka kuja kuviona nafuata njia inayokwenda Mwanzo Lodge au ile tunayotumia kuwakwepa traffic?
 
Nikitaka kuja kuviona nafuata njia inayokwenda Mwanzo Lodge au ile tunayotumia kuwakwepa traffic?

yes unafuata njia ya kwenda Mwanzo lodge mojakwamoja unapita chatembo kwa mbelekidogo na ukitaka kuviona ni pm
 
Bado mtego huo ni wapi Musoma

mtego wa nini kwani musoma kuna vikindu pia mkuranga ipo musoma na kiwanda cha Azam cola kipo musoma haya makosa ya uandishi kila mtu anayo si mimi tu
 
Back
Top Bottom