Viwanja / Plotes on sale

Viwanja / Plotes on sale

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
(1) Mahali: BUYUNI - CHANIKA
Ukubwa : 42ft x 55ft
Bei: 3million
Status : Mashamba

(2) Mahali: Msongola - Ilala
ukubwa : 40ft x 50ft
Bei : 3milion
Status: Mashamba

* Contact: 0717 288306

Kweli hii ni plot,

1ft = 0.3048 m
40f = 12.192 m
50 ft = 15.24 m
Total Area of the plot = 185.81 sq m

Hapo nikujenga chumba kimoja na sebure, ndo utapata egesho la gari, bajaji, na pikipiki. Bado sehemu ya shimo la choo, kuanika nguo, jiko n.k. Vinginevyo ujenge ghorofa.

JAMANI TUNAKARIBISHWA kununua plot hizo.
 
Duh hatare sana..... mbona vidogo sana.
 
Kweli hii ni plot,

1ft = 0.3048 m
40f = 12.192 m
50 ft = 15.24 m
Total Area of the plot = 185.81 sq m

Hapo nikujenga chumba kimoja na sebure, ndo utapata egesho la gari, bajaji, na pikipiki. Bado sehemu ya shimo la choo, kuanika nguo, jiko n.k. Vinginevyo ujenge ghorofa.

JAMANI TUNAKARIBISHWA kununua plot hizo.

Inaonekana wewe ni mgeni wa viwanja......I mean vipimo hivyo na uhalisia wa kiwanja chenyewe....
Mbona ni kikubwa hata nyumba mbili kubwa zinatoka kwa kila kiwanja....
 
Inaonekana wewe ni mgeni wa viwanja......I mean vipimo hivyo na uhalisia wa kiwanja chenyewe....
Mbona ni kikubwa hata nyumba mbili kubwa zinatoka kwa kila kiwanja....
Kama ulikusudia kuandika mita bada ya ft (foot) hapo sawa. Yaani plot ni 40 m kwa 50 m. Kumbuka sijatoa maelezo hayo hapo juu kuharibu biashara yako. Yalikuwa ni maelezo ya kutaka uboreshe maelezo tangazo lako kwa kuweke specification zinazoeleweka. Usitumie maneno ya jumla jumla. mfano unaposema 'hata nyumba mbili kubwa zinatoka' , hii ni kauli ya jumla mno. eleza ukubwa wa nyumba yenyewe. Nakutakia biashara njema.
 
Back
Top Bottom