viwanja nilivyonavyo leo-gezaulole | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

viwanja nilivyonavyo leo-gezaulole

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mama cha, Sep 4, 2012.

 1. m

  mama cha Senior Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizi ni vocha kama zinavyojieleza
   

  Attached Files:

 2. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Unaviuza kwa bei iliyoandikwa kwa kalamu au?
   
 3. m

  mama cha Senior Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes ile iliyoandikwa kwa wino inakuwa deposited kwenye account ya manispaa na ile iliyoaandikwa kwa peni owner ni ya mwenye shamba na milioni moja ya udalali
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,603
  Likes Received: 3,086
  Trophy Points: 280
  Nji ya wajanjawajanja hii........yaani dalali anakula 1,000,000 irrespective of plot size!....kiwanja kimenunuliwa Agosti 27 kwa milioni 1.5 leo kinauzawa 16m!
   
 5. m

  mama cha Senior Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safari-ni-safari hujui usemacho kaa kimya.
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,284
  Likes Received: 1,638
  Trophy Points: 280
  PCCB wanafanya kazi gani?namna hii mfumuko wa bei tutaudhibiti kweli?
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,011
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145

  Yaani kila baada ya mwezi kiwanja kinapanda bei kwa 11mil zaidi?-wewe lazima ulikwepa hesabu shule ya msingi.

  Kwa nini usisubiri baada ya mwaka unaweza kukiuza kwa 120mil??!!!!
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,011
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hapa ndiyo ujue kuwa elimu ya Tanzania ina mushkeli...kila baada ya mwezi viwanja vyake vinapanda thamani kwa 11ml, piga hesabu baada ya mwaka vitakuwa na thamani gani.

  huyu ni mlevi wa mwaka.
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,603
  Likes Received: 3,086
  Trophy Points: 280
  Kivipi? Mbona kila kitu kiko wazi?
   
 10. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,332
  Likes Received: 1,273
  Trophy Points: 280
  Hii nchi haina mwenyewe!
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,407
  Likes Received: 692
  Trophy Points: 280
  Hivi ndio viwanja ambavyo hawa wapimaji/maafisa ardhi na maofisa wa Manispaa wanajigawia kwa majina bandia halafu wanaviuza!! Nchi hii sasa haina serikali ni vurugu kila sehemu na kibaya zaidi sasa mapolisi wanatumiwa kuua raia!!!
   
 12. Paw

  Paw Content Manager Staff Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 1,992
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mkuu, huu mtego umenasa mpaka serikali yetu.
  Wanakukodisha kiwanja kwa bei ya kuuza...
   
 13. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 16,763
  Likes Received: 2,941
  Trophy Points: 280
  Kaka,
  Hayo maeneo hayatokaa yawe na maendeleo mapema maana yataendelea kubaki Mapori wakati hawa mafisadi wanasubiri bei zipande!!

  Huu ni uhuni ambao tunatakiwa kuupinga kwa nguvu kubwa!!

  Kama hawako tayari kujenga now wajinyang'anye. Hii nchi inahitaji mtu mwenye uthubutu wa hali ya juu kuiendesha!!
   
 14. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 391
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kwa hali hii squatters the likes of manzese zitazidi kuupamba mji wetu
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Naomba na bei ya jana, au vya jana vimesha chukuliwa?
   
 16. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,468
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  akae vipi kimya wakati hata huo ni ufisadi?
   
 17. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,634
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  This is too bad, kama serikali itakaa kimya kwa hili msitegemee kupata viwanja vilivyopimwa kwa njia halali tena. Maana huu utakuwa mradi wa maafisa ardhi. Unapima viwana 870 unajiuzia 400 na vilivyobaki 470 unawazia viongozi wakubwa wa serikali ili wasifuatilie. Unategemea kweli nchi itawalike kwa namna hii...poor Tz
   
 18. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 756
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  This is disgusting!Kwa mtindo huu ndio maana foreigners wanajichukulia maeneo kiulaini sana because they come with big bucks na hyo bei kwao is just a peanut! Mama na Baba Kayaii wa kule Kwa mfuga mbwa hawatahama hata kama kila mvua inaponyesha maji yanapiga hodi hadi chumbani.
   
Loading...