Viwanja na Nyumba

mekuuliza muanzisha thread
nimejibiwa na mwingine
sijui ndo wewe mtu mmoja au nielewe vipi?

The Boss, aliyekujibu hakukosea ndio maana nikawa kimya. Kazi ya upimaji viwanja inafanyika kupitia watendaji mahiri tunaoshirikiana nao kwa karibu sana.

Karibuni wote, 'Viwanja na Nyumba'
 
'VIWANJA NA NYUMBA' tunawapa pole wote waliojenga mabondeni, hasa kutokana na adha ya mafuriko katika kipindi hiki cha mvua.

Wasiliana nasi kwa mahitaji ya viwanja, mashamba, nyumba na maeneo ya uwekezaji nchini Tanzania.

Email: viwanjanyumba@gmail.com
 
Back
Top Bottom