Viwanja na Nyumba

Mwenye kiwanja Kibada tuwasiliane kwa namba yetu hapo juu, taja ukubwa wake na bei yako. Pia anayehitaji nyumba Mbagala, iko ya 3bedrooms ambayo haijapauliwa bei ni 15M, asanteni.
 
Huduma hii ni nafuu sana na imezingatia kupunguza tozo ya madalali ambayo mara nyingi huwa 10% ya bei ya kiwanja au nyumba.

Commission ya 'Viwanja na Nyumba' ni 1% tu ya bei ili kuchangia gharama za uendeshaji na kupunguza mzigo kwa wateja wetu. Karibuni sana, asanteni.
 
Huduma zinazohusiana na upimaji wa viwanja, kuthamini viwanja na majengo (valuation), ujenzi wa nyumba na uchoraji wa ramani za nyumba, landscaping na utunzaji wa bustani zinapatikana kwa kupitia watendaji mahiri tunaoshirikiana nao kwa karibu.

Asanteni, 'VIWANJA NA NYUMBA'
 
Huduma hii ni nafuu sana na imezingatia kupunguza tozo ya madalali ambayo mara nyingi huwa 10% ya bei ya kiwanja au nyumba.

Commission ya 'Viwanja na Nyumba' ni 1% tu ya bei ili kuchangia gharama za uendeshaji na kupunguza mzigo kwa wateja wetu. Karibuni sana, asanteni.

Shukrani mazee, nina shamba Mtwara, kijiji cha Litumbokaribu na kijiji cha kawawa, ukubwa ni ekari 18+, umbali toka mjini ni 16 Kmkaribu na inapojengwa SAUT University.
 
Nina nyumba mbagala nzasa, imekamilika ujenzi ina vyumba 3 vya kulala,master room 1,sitting na dining,jiko na stoo,karo la choo limekamilika.Sehemu inafikika. Bei nzuri only 15 ml, piga no 0716 890 336

Asante kwa taarifa nzuri, tunakutafutia mteja wa uhakika. Endapo atapatikana wa kukupigia simu yako directly na mkaafikiana bei, utulishe mapema kuepuka usumbufu kwa wateja wengine.
 
Shukrani mazee, nina shamba Mtwara, kijiji cha Litumbokaribu na kijiji cha kawawa, ukubwa ni ekari 18+, umbali toka mjini ni 16 Kmkaribu na inapojengwa SAUT University.

Hilo shamba lako ni 'hot cake' mkuu. Tupatie bei yako, je lina mazao ya kudumu, na kama limepimwa au lina hati ya kijiji au document yoyote kuthibitisha wewe ni mmiliki halali, asante.
 
Undeveloped Surveyed Plot 663sqm inauzwa, iko Block C, Wazo Tegeta. Ina Title Deed, fixed price Tsh. 25mil. Mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba yetu tafadhali.

Asanteni, 'Viwanja na Nyumba'
 
Hilo shamba lako ni 'hot cake' mkuu. Tupatie bei yako, je lina mazao ya kudumu, na kama limepimwa au lina hati ya kijiji au document yoyote kuthibitisha wewe ni mmiliki halali, asante.

Hilo shamba lako ni 'hot cake' mkuu. Tupatie bei yako, je lina mazao ya kudumu, na kama limepimwa au lina hati ya kijiji au document yoyote kuthibitisha wewe ni mmiliki halali, asante.

Shamba halikuwahi kupimwa rasmi, kwa uthibitisho lina hati ya yenye sahihi ya mnunuzi na muuzji kisha muhuri wa kijiji,
kuna mikorosho 60 inayozaa vyema ikitunzwa, miembe 8 ya kienyeji ya umri wa miaka 5 miche ya nanasi >3500.

Liko kwenye kilima ambapo kusini mashariki unaiona Mbawala chini na magharibi unaiona Luwelu kwa mbali hususan mtambo wa utafiti wa mafuta uliokuwa pale, sina hakika kama bado upo. kaskazini kama >2 km ndipo inapojengwa SAUT na ukienda mbele zaidi, Mikindani.

Hapo je?
 
Hapo pouwaaa, bei je?
 
Haya wandugu, mwenye mali aje auze, naye asiye na mali aje anunue. Katika kizazi cha leo; mali = viwanja + nyumba + mashamba = assets with appreciating value!
 
Nina ekari 20 pale Ruvu maeneo ya Vigwaza ila shamba lenyewe liko kijiji cha Visezi around 7 km kutoka dar - chalinze highway. Hati ni makubaliano ya manunuzi iliyothibitishwa na kijiji, pia maji yamepita hadi kijijini na halina mazao kwa sasa. Bei ni 800,000/= kwa eka lakini twaweza kuelewana..
 
Nina nyumba Mwanza mjini wilaya ya ilemela ina vyumba vitano,mabafu matatu,toilet tatu,jiko,stoo,dinning,sebule kubwa, na floor moja yenye rum kubwa sana self na stoo parking kubwa inafensi gari tano ndogo zinapaki,tank la lita 10,000 la maji limesmamishwa juu,veranda mbili juu na chini bei M130. Maongezi yapo.
 
Nina ekari 20 pale Ruvu maeneo ya Vigwaza ila shamba lenyewe liko kijiji cha Visezi around 7 km kutoka dar - chalinze highway. Hati ni makubaliano ya manunuzi iliyothibitishwa na kijiji, pia maji yamepita hadi kijijini na halina mazao kwa sasa. Bei ni 800,000/= kwa eka lakini twaweza kuelewana..

7km kutoka highway ni umbali mzuri kwa uwekezaji katika kilimo. Naomba unitext bei yako ya mwisho kwenye namba yetu hapo juu, na ukiweza kuatach scanned copy ya hati ya mauziano yenye mhuri wa kijiji, tuma kwa email plz. Asante sana.
 
Shamba eka saba linauzwa lipo Mbezi Msumi Kilomita sita toka MorogoroRoad(Mbezi Mwisho).Lina banda kubwa na imara la ng'ombe.Lina minazi,miembe michache.Kuna bonde zuri lenye maji msimu wote.Limepimwa lkn halijapata hati.Bei120Mil/=.Mawasiliano piemu@yahoo.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom