Elisha Ray
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 323
- 94
7km kutoka highway ni umbali mzuri kwa uwekezaji katika kilimo. Naomba unitext bei yako ya mwisho kwenye namba yetu hapo juu, na ukiweza kuatach scanned copy ya hati ya mauziano yenye mhuri wa kijiji, tuma kwa email plz. Asante sana.
Nauza shamba ukumbwa wa ekari moja lipo maeneo ya maji ya chai pembeni ya moshi to arusha road.
Viwanja na Nyumba
are you serious with your business .....nimewatumia e-mail tangu jana but with no avail .... no reply neither no any acknowledgement ... sijui mna maana gani au mnafurahisha watu tuu humu jf
LAT, much respect. We're working hard even during odd hours and on holidays, surely some members can testify! If you sent us email using correct address you must have received our response, otherwise check your inbox and re-send your email to: viwanjanyumba@gmail.com
Tunashukuru sana kwa ushirikiano wako, karibu.
'Viwanja na Nyumba'
mkuu mbagala sehemu gani? Bei ina maelewanomwenye kiwanja kibada tuwasiliane kwa namba yetu hapo juu, taja ukubwa wake na bei yako. Pia anayehitaji nyumba mbagala, iko ya 3bedrooms ambayo haijapauliwa bei ni 15m, asanteni.
LAT, much respect. We're working hard even during odd hours and on holidays, surely some members can testify! If you sent us email using correct address you must have received our response, otherwise check your inbox and re-send your email to: viwanjanyumba@gmail.com
Tunashukuru sana kwa ushirikiano wako, karibu.
Excellent Customer Service,Keep It Up,u must be matured and informed!!
Wakuu mm nilitaka kununua kiwanja sehem moja kigamboni, Ukfika pale kibada, njia ya kuelekea Dar es salaam zoo, unaenda kama km 2 hivi, sehem haijapimwa, ni mashamba ya mtu, hiyo sehem imepakana na shamba la mtoto mmja wa Alhaj Mwinyi, ila kabla ya kulipa nipata hofu ya maneno meengi, mara oh, wamepigwa picha, mara watalipwa fidia hivi karibuni ili maeneo yapimwe! Unanisaidiaje??
mkuu mbagala sehemu gani? Bei ina maelewano
LAT, much respect. We're working hard even during odd hours and on holidays, surely some members can testify! If you sent us email using correct address you must have received our response, otherwise check your inbox and re-send your email to: viwanjanyumba@gmail.com
Tunashukuru sana kwa ushirikiano wako, karibu.
Excellent Customer Service,Keep It Up,u must be matured and informed!!
Thanks for the compliment, 'VIWANJA NA NYUMBA'
Nina nyumba Mwanza mjini wilaya ya ilemela ina vyumba vitano,mabafu matatu,toilet tatu,jiko,stoo,dinning,sebule kubwa, na floor moja yenye rum kubwa sana self na stoo parking kubwa inafensi gari tano ndogo zinapaki,tank la lita 10,000 la maji limesmamishwa juu,veranda mbili juu na chini bei M130. Maongezi yapo.
Morogoro mjini ntapata kiwanja?na ni bei gani?Kiwanja kinahitajika Dodoma mjini, yeyote mwenye kiwanja chake anataka kukiuza tuwasiliane mapema iwezekanavyo.
Asante, 'VIWANJA NA NYUMBA'