Biggs
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 2,109
- 2,359
Ni Hatua,Meter,Yard?
Kama ni vipo kwa FT maana yake 50ft x 50 ft ni sawa na 15.24 m x 15.24 m (Approx. 232 sqm) sawa naApprox. TZS 13,000/= kwa sqm !
Ni Hatua,Meter,Yard?
15m kwa 15m ni pa kujenga frem ya duka moja tu basi,maana kwa nyumba hapatoshi.Kama ni vipo kwa FT maana yake 50ft x 50 ft ni sawa na 15.24 m x 15.24 m (Approx. 232 sqm) sawa naApprox. TZS 13,000/= kwa sqm !