Viwanja Magwepanda kuna harufu ya rushwa

Viwanja Magwepanda kuna harufu ya rushwa

kamtu33

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
998
Reaction score
409
Wananchi ambao walitakiwa kupata viwanja eneo la magwepande wamelalamikia uongozi wa halimashauri ya wilaya ya kinondoni kuwa wanagawa viwanja hivyo kwa rushwa, kwani viwanja vilivyopimwa ni 274 na naombi ni zaidi ya 600.
source: habari chanel ten
 
Ndio wapi tena huko? Duuuuh, Dar kubwa mno!
 
mafisadi ndo wanenda tena kugawana
 
yani sio kabisa kule,hii nchi katika ardhi wanatutaka ubaya
 
Watu wa ardhi huwa wanagawana karibu asilimia 70 ya viwanja hivyo halafu wanakuja viuza baadae...kuchukua fomu ni kupotezeana muda tu kama humjui mtu
 
Back
Top Bottom