Viwanja Magwepanda kuna harufu ya rushwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja Magwepanda kuna harufu ya rushwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kamtu33, May 21, 2012.

 1. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 973
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  Wananchi ambao walitakiwa kupata viwanja eneo la magwepande wamelalamikia uongozi wa halimashauri ya wilaya ya kinondoni kuwa wanagawa viwanja hivyo kwa rushwa, kwani viwanja vilivyopimwa ni 274 na naombi ni zaidi ya 600.
  source: habari chanel ten
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio wapi tena huko? Duuuuh, Dar kubwa mno!
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mafisadi ndo wanenda tena kugawana
   
 4. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Usikute unazungumzia Mabwepande.
   
 5. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  yani sio kabisa kule,hii nchi katika ardhi wanatutaka ubaya
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Watu wa ardhi huwa wanagawana karibu asilimia 70 ya viwanja hivyo halafu wanakuja viuza baadae...kuchukua fomu ni kupotezeana muda tu kama humjui mtu
   
 7. N

  Ndamalishaz Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wizi na ufisadii tunaomba kila mwaka hatupatii je wanaopataga nikina nani,,?
   
Loading...