Viwanja kibaha

Viwanja kibaha

Hii bei ni ya mbezi makabe huko kibaha hata 3,000,000 bado ni uonevu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka popote ardhi hupanda kutokana na maendeleo yanayoonekana sehemu husika,ujenzi wa barabara ya Morogoro unaoendelea unaosadikika utasaidia kuondoa msongamano ktk njia hiyo pamoja na kuhamishiwa stand ya buses za mikoani hapo Mbezi ambapo ni kama jirani na Kibaha umewaamsha sana akili wauzaji wa viwanja.

Ardhi zamani ndiyo ilikuwa inatupwa hovyo sasaivi wauzaji wamestuka hakuna atakayekuuzia kiwanja bei rahisi Mbezi kiwanja kwa bei hiyo utapata Msitu wa Pande tena kwa kutafuta kwa torch.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hapo kwenye maji kweli aisee mana tunasomba na magari huku. Huku hatuna mwakilishi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila maji kuna baadhi ya sehemu Makabe yapo,ukianzia wanapopaita kwa Biligenda kurudi St Ann's School kuna maji ya bomba vuruga kote mpaka kule kwa Moyo tatizo sijui ninini kuendelea mbele baada ya maeneo haya.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mzee Kiluvya ya wapi hiyo, unapata hicho kiwanja!???,
Kiluvya viwanja vinaanza kupatikana Kilometer 10 kutokea Morogoro road,
Kuna sehemu inaitwa Makurunge,
Kiwanja 20 kwa 20 unapata kwa Milioni 5 huko,
Mzee hizi biashara za viwanja watu kama wamekuwa wanaambiana sasa bei zake,

Maana kila sehemu nilipoenda na ki milioni mbili changu watu walikua wanakaza, wanasema angalau ningekua na 3M,

Kiujumla hivi sasa ardhi imepanda thamani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Makurunge ni 4km toka moro road mkuu, pande karibia na kwa waziri staaafu sumaye, milion tatu unapata kiwanja safi kabisa, hyo 10km unayosema ni hko mbele kabisa wanapaita mwanakondoo, na kwa gwajima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom