mkuranga
mkuranga sio dah au kuna mtaa unaitwa hivyo
Wapi naweza kupata kiwanja Dar kwa mil. 1 nijenge nyumba ndogo ya kuishi!
mkuranga sio dah au kuna mtaa unaitwa hivyo
Wapi naweza kupata kiwanja Dar kwa mil. 1 nijenge nyumba ndogo ya kuishi!
Dar ni kubwa sana hata Mabwepande,Kibamba,Kiluvya,Majimatitu,Mbande,Vikindu kote ni Dar
mkuranga sio dah au kuna mtaa unaitwa hivyo
mtafutie kule mbezi kwenu basi. halafu hiyo "dah" ni mkoa wa nchi gani?
Mtafutie kwenu Mbezi ambako umetumia dak 15 leo kutoka Mbezi kwako mpaka Shekilango hahahahahaha day dreamer
Hapo kwenye red ndo mahali gani Tanzania hii..!?