Viwanja Dar Zoo

Viwanja Dar Zoo

Character X

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
331
Reaction score
382
Wandugu Habari,
Nimeitiwa eneo lenyeukubwa wa heka mbili karibu na Dar zoo naomba kuuliza kuhusu uhalali wa maeneo yale. Ni nyuma ya Dar zoo wanauza milioni mbili kwa heka.

Mwenye ufahamu Tafadhali
Shukran

Ila pia Kama yupo mwenye eneo kule lenye uhalali usiotiashaka ataje bei Kama itakua nzuri naweza kulitembelea kuliona,kama yote yataenda sawa tukafanya biashara
 
Mkuu ukipata taarifa sahihi zozote kuhusu hivyo vya Dar Zoo naomba ulete mrejesho hapa na uniambie kama bado vipo.
 
Mi ni mwenyeji wa kigamboni ila heka kwa sh mil 2 huo ni utapeli maana hata huko mwasonga ambapo ni mbele ya dar zoo huwez kupata heka kwa mil 2
 
  • Thanks
Reactions: MC7
NJOO NIKUPE SITE UHAKIKA, kwa mil 1.8 utapata urefu 70M upana juu 26m,chn 16M wapi,n huku musese mpakan mwa kibaha na ksarawe n center na kuna road inatokea kongowe kbaha inapta hapa kwenda chanika,kisarawe maji,kokoto,mawe,mchanga vya kumwaga,mi pia nmejenga hapohapo aridhi n tambalale 0764726071, KUNA HEKA 3.3 IPO HAPOHAPO MIL.7 YOTE MALI YNG
 
Wandugu Habari,
Nimeitiwa eneo lenyeukubwa wa heka mbili karibu na Dar zoo naomba kuuliza kuhusu uhalali wa maeneo yale. Ni nyuma ya Dar zoo wanauza milioni mbili kwa heka.

Mwenye ufahamu Tafadhali
Shukran

Ila pia Kama yupo mwenye eneo kule lenye uhalali usiotiashaka ataje bei Kama itakua nzuri naweza kulitembelea kuliona,kama yote yataenda sawa tukafanya biashara

Vilivyo pimwa ni
Square meters 400
Square meters 500
Square meters 600
Bei kwa square meters 1= 10000.
Vya miguu vipo 2.
Nusu heka
20 kwa 20 na kisambusa.
be8bb286065eb5756f98dec5d59e7ad9.jpg
14d2c0c5af26de58340f5aa2e1c4b9b9.jpg
c25f22b0cb3d9849aea6d6202637c0fe.jpg
 
Vilivyo pimwa ni
Square meters 400
Square meters 500
Square meters 600
Bei kwa square meters 1= 10000.
Vya miguu vipo 2.
Nusu heka
20 kwa 20 na kisambusa.
be8bb286065eb5756f98dec5d59e7ad9.jpg
14d2c0c5af26de58340f5aa2e1c4b9b9.jpg
c25f22b0cb3d9849aea6d6202637c0fe.jpg
600 sqm ipo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom