ricostrong
Member
- Nov 15, 2016
- 43
- 6
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shighul nyngne za kimaendleo vinapatkana kwa ukubwa wa kwanzia 15/15,20/20,20/40m..etc
Kwa maongez zaid contact 0656 698232
Kwa maongez zaid contact 0656 698232
Hio 20m x 40m bei gani mkuu au zote ni 2.5ml. Pia ni Chanika ipi?Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shighul nyngne za kimaendleo vinapatkana kwa ukubwa wa kwanzia 15/15,20/20,20/40m..etc
Kwa maongez zaid contact 0656 698232
Chanika zngiziwa umeme upo mkuuHio 20m x 40m bei gani mkuu au zote ni 2.5ml. Pia ni Chanika ipi?
0656 698232nipe namba ya simu PM?
Vina ukubwa gani kiongozi?je miundombinu VP,in case ya barabara,maji,na Huduma nyingne muhimu za kijamii,asanteMimi pia Nina viwanja Chanika majumba sita-homboza bei 3.5..mkijiunga watu watano mkachukua as a group punguzo lipo kubwa sana...na shida this time ndo maana nauza..nicheki watsp na call through 0756761698
Maji yanapatikana na Umeme ipo karibu mkuu..pamejengeka sana..kama uko serious tafuta siku ukatembee...Mimi nna shida ya hela kuna issue nataka kufanya ndo maana napauza otherwise nisingepauza hata kwa dawaVina ukubwa gani kiongozi?je miundombinu VP,in case ya barabara,maji,na Huduma nyingne muhimu za kijamii,asante