Viwanja bei rahisi Kibaha kwa mfipa(upande wa chuo)

Ghost.js

Senior Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
188
Reaction score
347
Vyenye hati ambavyo kuanzia sqm 400 ni million 6.5
Ambavyo ni mauziano serikali ya mtaa ni million 4(sqm 400)
Toka moro road unatembea tu, kwa boda ni buku
Umeme upo, maji ya dawasco yapo
Barabara zipo
Huduma zote zipo
Uaminifu 100%
0744757738
IMG_20230901_112203_641.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Baada y mteja kulipia kiwanja Cha hati anapata HATI ya wizara baada ya mda gani?
Asante
 
Ukilipia, unaenda serikali ya mtaa unalipia kwa ajili ya watu wa ardhi waje wakadilie kiasi gani unatakiwa ulipe kuendelea na process za hati. Huku tumepata ofa ya kupimiwa kwa awamu awamu
0744757738

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hapa hawez kukupa jibu la kueleweka coz inategemea na factor nyingi
Jibu la kueleweka ni kwamba, kabla ya kulipia kiwanja njoo nikupeleke ofisi ya serikali ya mtaa, upate utaratibu wa kupimiwa maana mimi naishi huku na nimeshapima eneo langu, tunapimiwa kwa awamu huku. Karibu

Kwa maana kama nimelipia kwako 6.5 millions Cha kupimwa. Bado kuna ghalama zingine tena serikali z mtaa n wapimaji akuna akuna jumla inaweza zidi hata million 9_10 hv.?
 
6.5M maana kiwanja kina hati tayari, ukilipia unakabidhiwa hati, wewe utaenda kufanya transfer tu.
Kuna kiwanja mtu kanipigia toka humuhumu ana shida kimepimwa na kina hati miliki ya wizara
Ukubwa sqm 450
Bei million 4 tu
0744757738

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna vya ndani ndani au mashamba weka bei kuna watu wanahitaji maeneo ya ufugaji.
 
6.5M maana kiwanja kina hati tayari, ukilipia unakabidhiwa hati, wewe utaenda kufanya transfer tu.
Kuna kiwanja mtu kanipigia toka humuhumu ana shida kimepimwa na kina hati miliki ya wizara
Ukubwa sqm 450
Bei million 4 tu
0744757738

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hapo sw nimekuelewa kiongozi. Vp uyo jamaa anaweza kubali 3 million?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom