viwanja A town..

viwanja A town..

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
287
wapendwa..naitumikia nchi hii arusha kwa siku kadhaa.. MMU tasavalo.
 
hivi kwa nicky bado pako? Nenda kale samaki waambie mie ntalipa
 
sehemu zenye nyama choma ya kufa mtu ni

cet garden ( kwa sifaa )

kwa tolu ( karibu na car wash ya sunda kama unaelekea sakina )

kwa mrombo
 
nakujua. jioni mwakemwake jomba.

Hahahahahaaaa pale pako poa sana then jioni ya kesho Babylon ili kucheck mpira huku ndovu inashuka na music za ukweli...dah A townnnnnnnnn......bombaaaa
 
babylon bar na pa kzush. vwanja vpyaaa...
 
Sehemu ziko nyingi tu mkuu,
1. Pub Albero
2. Mango Tree
3. 2 I pub
nk nk karibu
 
Viwanja vingi vimetulia sana sema hutakuwa na muda...lol
Tukionana tutajua

asenti jembe... jana nilimalizia jioni kwa mkandamizo wa mnafu wa kuku pale Florida..nyepesi nyepesi nimiambia Matongee na Bugaluu pamefulia... si kama ziku za nyuma.. nimeambiwa kuna pub maarufu kwa jina la Matak* Matak* Bar... nadhani jioni itaanzia hapo jomba...
 
Sehemu ziko nyingi tu mkuu,
1. Pub Albero
2. Mango Tree
3. 2 I pub
nk nk karibu
Hahahaha Lily Pub Albeto kwa mbele kidogo kuna korongo si salama sana wanaweza kumfanya kitu mbaya....Bora aende Sakina Bar kabisa coz si mbali na Alberto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom