RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,733
- 11,466
Mkuu huyo meneja yupi, wakati internship TANROAD analipwa 1.1M nazungumza kitu nachokifahamu zaidi ya asilimia 200.Tanroad hebu nenda ukaulize vizuri,meneja wa mkoa tanroad anakunja milioni 2,izo status ilikuwa ni zamani kwa baadhi ya taasisi
Weken mahesbu ya mwalimu anaeanza kaz ngazi ya degree pia ana loan kutoka Heslb take home itakuwa bei gan wakuu
Hii ukitoa na makato ya bodi ya mikopo mkuu??Take home 540K, mshahara 716000 kama sijakosea.
Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
Muhasibu, HR 710,000Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
Nina interest ya kujua mshahara
Mwalimu
Dakitari
Muuguzi
Mfamasia
Mhandisi ngazi ya halimashauri
Mwanasheria
Mhasibu
N.k
Hapo umetajiwa bila kuweka makato. Bima ya afya,kodi, payi sijui chama sijui utumbo mwingineo ..take hlme 430000Daah! Kumbe mi nakunja parefu kwa mwezi,nmewapita wengi.
Hii ukitoa na makato ya bodi ya mikopo mkuu??
[emoji3][emoji3][emoji3] 2M ni nyingi kwa Meneja? Sema Mishahara ya Serikali inategemea uko taasis gani mwalimu wa Degree ni kama Mara 3 na Nusu kufika Mshahara wa Entry degree level wa TRA wa Sh. 2, 340,000/= + 10% ya Over Time anakua kwenye 2.5M take home kama Hadaiwi loan Board anaweza Kuchukua 1.9M
Sa ivi ni 460k, 540k ilikiwa wakati ule bodi wanakata 7% ya 716k. Xa iv makato ni 15% ya gross salary ambapo inaleta 460kTake home 540K, mshahara 716000 kama sijakosea.
Yaani mtu mwenye degree analipwa 460K take home, kiukweli ualimu uendelee kuwa wito.Sa ivi ni 460k, 540k ilikiwa wakati ule bodi wanakata 7% ya 716k. Xa iv makato ni 15% ya gross salary ambapo inaleta 460k
Hii ni gross or net salary???Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
Ndo hivyo mkuu.Yaani mtu mwenye degree analipwa 460K take home, kiukweli ualimu uendelee kuwa wito.
Mkuu sasa walimu wanaoishi Dar wanaishije?. Kiukweli nihela ndogo sana 460K ndio maana walimu wanamadeni mengi, kiukweli sio haki kabisa. Leo wanataka na wahandisi tukawe walimu aah ha ha yaani, mimi kazi yangu mayofanya nilienda site kwa siku nalipwa lakimoja, na nakaa site zaidi hata ya siku 12 kila mwezi.Halafu leo muhandisi mwenzangu niliehamgaika nae umlipe 460K bila hata malupulupu kiukweli sio haki kabisa.Ndo hivyo mkuu.
Mwalimu anaumizwa sana moyoni
Umeona mwalimu tu?Yaani mtu mwenye degree analipwa 460K take home, kiukweli ualimu uendelee kuwa wito.
Jafoo yuko busy anakagua kuta za majengo wakati watumishi wake serikali za mitaa ni masikini kuliko watumishi wote serikaliniMishahara haijawahi kufanana kila taasisi ina scale zake ila tu jua Halmashauri ndo pakichovu zaidi, Kuna mashirika yanayozalisha kama Ngorongoro,TPA, TRA, TANESCO, TANROAD huku kote kwa degree lazima aanzie 1m and above ile hali halimashauri degree maxium anachezea 900k tena wengi huanza 700k ivi kutegemea na Fani
Mkuu take home 460K kiukweli nihatari, sasa hio sihela tu yakula mwezi mzima kama unafamilia yako na ndugu tegemezi hio ela haitoshi kabisa.Umeona mwalimu tu?
Muhasibu, Afisa utumishi, afisa mipango na wengine wengi tu wanazidiwa na mwalimu wenyewe laki 7.1 wakati mwalimu 7.16
Hatari sana mkuu.Jafoo yuko busy anakagua kuta za majengo wakati watumishi wake serikali za mitaa ni masikini kuliko watumishi wote serikalini