Viwango vya mishahara-TAWA

Mhh, mkuu wewe ulifanya kazi TANAPA ipi unayosema hakuna maajabu,,,,
 
Aisee!!! Inamaana hata tuposho twa hapa na pale hakuna?
Posho zipo ...sema sio package kama TCRA au TCAA...Hakuna extra duty itapiga kazi kama kichaa appreciation zero..ila ikipangwa HQ Kule utaenjoy ..wao ndio wanakulaa maisha,uwezi ona mtu wa HQ akipanda staff...wote Ndinga kali...
 
Ha ..ha...au tajiri yoyote apite aache pesa,ila HQ wanaenjoy sana safari nyingi sana.upande wa JNIA ndio njaa..mtu ana miaka 15 hajawahi kusafiri ata kutoka nje ya mkoa..safari ni za kujuana sana .
Julius Nyerere I A akipita mtoto wa Bakhressa aiseee hiyo vita yake sio ya kitoto 🀣🀣🀣
 
Kwani TANAPA zipo ngapi?
Ukitoka LOCAL GOVERNMENT AUTHORITY TANAPA utaona peponi ila ukiiweka TANAPA na ma Giants kama NEC, TRA, TCAA, na wengine utaona kuwa TANAPA hamna kitu
Sawa mkuu nashukuru, ila nakushauri tafuta taarifa zaidi.
 
Basic 2.5M

Haya mengine nisitaje nisije kuonekana mzushi Bure πŸ˜€πŸ˜€ ila allowances, benefits zipo vizuri sana..kule bwana mrija kwa kuku...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

We jamaa uje umalizie comment yako πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…