poteleambali
Member
- Jul 23, 2015
- 80
- 102
Tafadhali wadau naomba mwenye kujua mishahara kwa Credit Control Officer kwenye mamlaka za maji safi na taka hasa SUWASA ni kiasi gani manaake nimeitwa huko kwa ajili ya usaili
Yaani unachekesha !!!!ulivyoomba kazi nani ulimuuliza swala hili?, Kama unatamaa ya fedha basi hata ukilipwa kiasi gani hakitakutosha.
Salary mara nyingi ni fixed money, hivyo huwezi kuendelea kwa mshahara mpaka akili itakapojua kuwa matajiri wote ni wafanyabiashara hata kama ni waajiriwa.
Mwalimu wangu alinifundisha namna ya kujibu unapoulizwa swali linalohusu maslahi yako.Mkuu nayajua yote hayo na kwamba wafanya biashara ndio wenye pesa nyingi na zisizo fixed, lakini hoja yangu ni kujua ili nipate base ya ku bagain. Sijui umenipata?
Mwalimu wangu alinifundisha namna ya kujibu unapoulizwa swali linalohusu maslahi yako.
Alisema maneno haya:
"...ikitokea unaulizwa, kama utapata nafasi ya kufanya kazi (hapa), je, utapenda ulipwe kiasi (pesa) gani..? Wew jibu you kuwa...siwezi kupanga mimi...kwa kuwa kila taasisi inautaratibu wake wa kulipa wafanyakazi mishahara...hivyo hiyo ipo juu yenu.."
Sasa mkuu, chukua majawabu hayo, then ongeza na akili zako,,,,alafu nenda kwenye usaili.
Ila kumbuka, kazi sio bidhaa hadi ufikirie kuhusu bargain
mha ha ha hakumbe umekuja kutangaza huku basi ngoja tukupige chini wewe huna maana
ok ndugu ila kwa serikalini kwenye interviws huwa swali la kukuuliza kuhusu malipo hawalipendi sana.Mkuu nayajua yote hayo na kwamba wafanya biashara ndio wenye pesa nyingi na zisizo fixed, lakini hoja yangu ni kujua ili nipate base ya ku bagain. Sijui umenipata?
ok
ok ndugu ila kwa serikalini kwenye interviws huwa swali la kukuuliza kuhusu malipo hawalipendi sana.
Usiache kupitia tangazo tena rafiki hasa pale penye majukumu.
Pole kwa kukukwaza. Nadhani nk kati ya 60's-80's kgs.
tusome number tuDadeki....!!!
Tupo wengi.
Mkuu niliku-pm jana check inbox yako.Ahsante mkuu na mpaka hapa nadhani nimepata pa kuanzia
ukiona kimya ujue kaliwaMbona hakuna mrejesho? Ulifanikiwa?