chipalila1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 259
- 31
Naomba ufafanuzi kuhusu hili kutoka kwa wataalamu wa masuala ya uchumi. nimekuwa sipati majibu ya kuridhisha kuhusu hivi viwango vya kubadirisha fedha za kigeni. Mfano taarifa za vyombo vya Habari kama Star Tv na TBC wanaweza wakatoa viwago vya kubadirisha fedha za kigeni kuwa Dora moja inauzwa kwa Tsh 2189 lakini ukienda CRDB siku hiyo hiyo utanunua Dora moja kwa Tsh 2243. Naomba kujua kinachosababisha tofauti hii Wataalamu. nawasilisha.