Tetesi: Viwango vipya vya mishahara

degera kichaa

Member
Sep 12, 2012
90
125
Kuna uzushi unaendelea kwenye mitandao ya kijamii unaoonesha mabadiliko ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa sekta ya umma. Tunaomba muwapuuze wanaosambambaza maana sio wakweli wanalengo la kutufarakanisha na wafanyabiashara
 
KWEZISHO

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
7,525
2,000
Kuna uzushi unaendelea kwenye mitandao ya kijamii unaoonesha mabadiliko ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa sekta ya umma. Tunaomba muwapuuze wanaosambambaza maana sio wakweli wanalengo la kutufarakanisha na wafanyabiashara
Toa ufafanuzi wa hiki unachoandika!
 
Mkwala

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
1,089
2,000
Hata mimi habari hizo nakutana nazo sana mitandaoni,kwani tangazo la kusitisha ajira,kupanda vyeo,ongezeko la mshahara(labda 1% ambayo itapungua kwenye PAYE) HATUKUELEWA VIZURI.Lakini siku zimebaki chache kabla ya kujiridhirisha na uvumi huu.
 
degera kichaa

Member
Sep 12, 2012
90
125
Habari zenyewe ni kama hizi hapo chini nimezikopi somewhere

HABARI HII NI LIVE BILA CHENGA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016 1.TGTS A1-546,000 2.TGTS B1-694, 000 3.TGTSC1-782,500 4.TGTS D1-939,000 5.TGTS E1-1,319,000 6.TGTS F1-1,653,000 7.TGTSG1-1,970,000 8.TGTSH1-2,584,000 9.TGTSI1-2,865,000 PROVED.......... HAPA KAZI TU
TGS A1~ 746,000
TGS B1 ~894.000
TGS C1 ~982,500
TGS D1~ 1,139,000
TGS E1~ 1,219,000
TGS F1 ~1,4053,000
TGS G1 ~1,670,000
TGS H1~ 1,884,001~ 2,665,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA. Inaanza kutumika Julai 2016. Asant
 
Baba Jazey

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
474
500

mkuu, muheshimiwa amesitisha hivi vitu sas wewe unasema kuna waraka umetoka. huo waraka ukwapi? tusiwapotoshe watu
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,653
2,000
Kuna uzushi unaendelea kwenye mitandao ya kijamii unaoonesha mabadiliko ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa sekta ya umma. Tunaomba muwapuuze wanaosambambaza maana sio wakweli wanalengo la kutufarakanisha na wafanyabiashara
Kwani wewe ndiye msemaji wa Kurugenzi ya mawasiliano ya Ikulu?

Kwa kuwa uteuzi mwingi wa Mkuu huwa anaufanya siku za weekends, huenda ikawa ndiyo umeula kwa kupata hiyo post......
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,313
2,000
Kuna uzushi unaendelea kwenye mitandao ya kijamii unaoonesha mabadiliko ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa sekta ya umma. Tunaomba muwapuuze wanaosambambaza maana sio wakweli wanalengo la kutufarakanisha na wafanyabiashara
Mishahara ya wafanyakazi wa umma inawahusu vipi wafanya biashara?
 
kson m

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
6,039
2,000
Hakuna nyongeza.bajeti ya mishahara 2015/2016 ilikuwa trillion 6 na mwaka huu wa fedha 2016/2017 ni trillion 6.hivyo acha kupanua koromeo.
 
Michael p

Member
Jul 16, 2016
18
45
Maafisa utumishi ndo wanaweza kudhibitisha hizi taarifa maana mfumo wa mishahara yaani LAWSON wanao ofisini
 
KICHINJIO 15

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
823
500
Habari zenyewe ni kama hizi hapo chini nimezikopi somewhere

HABARI HII NI LIVE BILA CHENGA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016 1.TGTS A1-546,000 2.TGTS B1-694, 000 3.TGTSC1-782,500 4.TGTS D1-939,000 5.TGTS E1-1,319,000 6.TGTS F1-1,653,000 7.TGTSG1-1,970,000 8.TGTSH1-2,584,000 9.TGTSI1-2,865,000 PROVED.......... HAPA KAZI TU
TGS A1~ 746,000
TGS B1 ~894.000
TGS C1 ~982,500
TGS D1~ 1,139,000
TGS E1~ 1,219,000

TGS F1 ~1,4053,000
TGS G1 ~1,670,000
TGS H1~ 1,884,001~ 2,665,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA. Inaanza kutumika Julai 2016. Asant
Ufafanuzi/marekebisho kwenye bold tafadhali
 
salim kimosa

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
391
500
Habari zenyewe ni kama hizi hapo chini nimezikopi somewhere

HABARI HII NI LIVE BILA CHENGA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016 1.TGTS A1-546,000 2.TGTS B1-694, 000 3.TGTSC1-782,500 4.TGTS D1-939,000 5.TGTS E1-1,319,000 6.TGTS F1-1,653,000 7.TGTSG1-1,970,000 8.TGTSH1-2,584,000 9.TGTSI1-2,865,000 PROVED.......... HAPA KAZI TU
TGS A1~ 746,000
TGS B1 ~894.000
TGS C1 ~982,500
TGS D1~ 1,139,000
TGS E1~ 1,219,000
TGS F1 ~1,4053,000
TGS G1 ~1,670,000
TGS H1~ 1,884,001~ 2,665,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA. Inaanza kutumika Julai 2016. Asant
hiyo taarifa ni uongo haina ukweli hata chembe mpaka sasa hivi hakuna waraka wowote wa mishahara uliotoka acheni kudanganya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom