and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
Ikiwa vyama vya Siasa vinapewa Ruzuku. Iweje sekta inayoingiza Kodi kwa wingi hawapewi Ruzuku toka mfuko mkuu wa Taifa? Tatizo ni Nini? Tumechelewa sana!
Naungana na wewe sio bia tuu. Ukiwa mlipa kodi mzuri ata mwananchi wa kawaida upewe ruzuku
Pombe ni haramuPombe kwa wote
ushindwe pepo wePombe ikatazwe kabisa...
Kuliko uchawi wenu na roho za kutu?Pombe ni haramu