Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Tanzania ya viwanda ina matumaini madogo ya kutoa ajira kwa wazawa kwa sababu hata hivi viwanda vilivyopo, wageni ndio wamejaa kiasi cha kufanya upungufu wa ajira kwa wazawa.
Yani hata kazi ambazo zinahitaji wazawa wenye elimu na experience ya kati zinagawiwa kwa wageni kama njugu.
Pia ajira za serikalini 'zinagawiwa' kwa watoto wa wakubwa kama vile ambavyo inasemekana kuhusu BoT.
Kwa hiyo prosepect ya vijana wanaotokea kwenye familia za kawaida bado wana mshike mshike wa kutosha.