Viwalo vikali kwa laki 2

Viwalo vikali kwa laki 2

Shekuna

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
688
Reaction score
549
wakuu sehemu gani dar naweza nikapata nguo nzuri za kupendeza kwa mvulana za kutosha kuanzia t-shts,shrts,trousers,pens na viatu especially viwalo vya mtumba kwa bajeti ya laki 2?
 
Nipe hiyo pesa nikakununulie.
 
wakuu sehemu gani dar naweza nikapata nguo nzuri za kupendeza kwa mvulana za kutosha kuanzia t-shts,shrts,trousers,pens na viatu especially viwalo vya mtumba kwa bajeti ya laki 2?

Naomba nikuvalishe viatu.

Achana na viatu vya mtumba unavaa kama umelogewa, njoo dukan uvae chako kipya kwa bei poa
 
Attachments

  • 1447138367245.jpg
    1447138367245.jpg
    106.3 KB · Views: 441
Viatu vizuri nikitoka mpanda ntakuja kununua,
 
wakuu sehemu gani dar naweza nikapata nguo nzuri za kupendeza kwa mvulana za kutosha kuanzia t-shts,shrts,trousers,pens na viatu especially viwalo vya mtumba kwa bajeti ya laki 2?
Mpigie mwenye namba hii 0767371453 huwa anapatikana Mwenge atakusaidia ni muuzaji wa nguo na viatu vya mtumba
 
jinsi mpaka jero
tyndale sema tandale
 
Jamani wewe dada una mambo loh.

Mambo gani???? Achen ubahil wanaume, sasa mtu anataka avae kiatu cha mtumba 8000 ili avae miaka 3 bila kubadilisha kama kalogewa. Hebu nendeni na wakati bhana, sio kuishia kuona pair za viatu za akina fulan kwenye TV.

Kwaheri
 
Back
Top Bottom