Viva Rais Magufuli Viva Mwakinyo

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
907
Nachukua Nafasi Hii Kuipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya jemedari wetu Rais Magufuli kwa Kumlea Vizuri Mwakinyo na Kumtengenezea Mazingira Mazuri ya Ushindi Leo hakika mwakinyo umeiletea sifa Tanzania na Africa kwa ujumla.najivunia kuwa mtanzania

Pia Pongezi Kwa UVCCM Mkoa wa Tanga kwa Malezi Mazuri ya Kijana Mwakinyo!

Hakika Sisi Ni Tanzania Mpya!
 
Ushindi wa Mwakinyo utailetea shida sana kamati za maandalizi ya michezo ya ndondi kwa Tanzania siku za usoni kuwapata wanandondi wengine kuamini na kuja Tanzania maana ameshinda kwa kishindo sana yaani unaweza kusema ni kama uchaguzi wa serikali za mitaa alivyoshinda CCM
 
Sisi tulioanza kufuatilia ndondi enzi za kina George Lister Sabuni, Koba Kimanga, Joseph Marwa, Rashid Matumla, Mbwana Matumla, Maneno Oswald "mtambo wa gongo", Hassan Matumla, Haji Matumla, Mzonge, Michael Yombayomba ni dhahiri mwakinyo Ni hazina ya taifa
 
Ungesikiliza comment za Rashid Matumla akicoment wakati pambano likiendelea...hakika ungefuta huu upuuzi wako uliondika.

Futa neno sisi..tumia neno Mimi kuonyesha upuuzi wako usaidiwe...
 
Ushindi wa Mwakinyo utailetea shida sana kamati za maandalizi ya michezo ya ndondi kwa Tanzania siku za usoni kuwapata wanandondi wengine kuamini na kuja Tanzania maana ameshinda kwa kishindo sana yaani unaweza kusema ni kama uchaguzi wa serikali za mitaa alivyoshinda CCM
Walikuwa wengi jukwaani bila sababu pia makocha ni wengi sana bondia anaweza kupoteza umakini ''concentration''
 
Hata ushindi wake wa jana ulionesha Uccm! Mfilipino popote ulipo pokea pongezi zangu!
 
Mmeanza kumletea nuksi dogo. CCM ya sasa ni ya kutembelea nyota.
 
Back
Top Bottom