Viva JF Viva love connect

Viva JF Viva love connect

Hongera saanaa!!Ila msisahau kwenda kupima kabla hamjaanza kula tunda la kati
 
Hongera saanaa!!Ila msisahau kwenda kupima kabla hamjaanza kula tunda la kati

Asante sana! Umetukumbusha jambo muhimu sana,tutafuata ushauri wako.
 
mbona wanaume hatupatagi wachumba hapa...hamna ma-bachelor wa kike humu..?
 
mbona wanaume hatupatagi wachumba hapa...hamna ma-bachelor wa kike humu..?

umemwelewa mtoa mada kweli???? ye ni ke kampata me humuhumu so alikua bachela pia kuna gals bachelas wengi sana ndiomana kila kukicha wanasaka me..
 
umemwelewa mtoa mada kweli???? ye ni ke kampata me humuhumu so alikua bachela pia kuna gals bachelas wengi sana ndiomana kila kukicha wanasaka me..
ila wanaume wengi wakipost matangazo yao hawapati wanawake(wake)..?
 
Mi naonaga kama maigizo haya eti sijui kwa nini
It's real if you keep yourself real, kama uko kimaigizo utapata wa kuigiza nae..!
...Jaribu, kuwa serious uone kama hutampata...
..Niulize 'ntakwambia'..
 
Hongera, lakini kuwa makini...tunaoigiza tupo wengi...
..Ukijiingiza mazima waweza kuumia, take your time!!
 
Back
Top Bottom