AAnaehitaji viungo halisi vya kupikia chai, pilau na mboga mbalimbali, viungo ni halisi kabisa, pia Tunasambaza matunda ya aina zote ukihitaji tunakufikishia mpaka ulipo, kwa mawasiliano 0766444846. karibuni.
jaribu kupitia matangazo mengine ndiyo utajua kasoro ya tangazo lako:
1. halina bei
2. halina kipimo(kilogram/gram/mg)
3. hujasema mahali unapopatikana
4. taarifa muhimu kuhusiana na biashara yako n.k.