Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,039
- Thread starter
-
- #41
Naiwasilisha kama nilivyo ikuta Mtandaoni.Hivi hivi viumbe cjui dinosaur kwenye biblia vimeandikwa kweli?
Shukurani sana mkuu nimefurahiUkiwa na muda wa utulivu iangalie yote, inatoa mwangaza mkubwa sana kujua ni namna gani mambo mengi kama serikali, uhai, majeshi, vita, kilimo na shughuli nyinginezo za kibinadamu zilivyoanza.
Ahsante mkuu nimejifunza kituNaiwasilisha kama nilivyo ikuta Mtandaoni.
Hili ni swali linalotokana na umri wa dunia tunayoikalia. kulengana na muda unaodhaniwa viumbe hawa waliishi, hakuna mwanadamu angekuwako kuwaona wakiishi. Biblia hutaja viumbe waliokuwa wakiitwa kwa kiebrania “tannyn’ kiumbe kikubwa chenye asili ya kufanana na mamba mkubwa. Tafsiri tofauti tofauti za neno hili la kiebrania ndizo zinachangia kiumbe hiki kuitwa dinosauri. Viumbe hawa wametajwa karibu mara thelathini katika agano la kale na wanapatikana nhi kavu na ndani ya maji.
Biblia inataja viumbe wengine ambao wanaitwa behemoth. hawa hutajwa kuwa wenye nguvu kuliko viumbe wote Mungu alivyoviumba wakubwa ambao mikia yao inafananishwa na msonobari (Ayubu 40:15 na kuendelea). Dinosauri alikuwa na mkia mkubwa hivyo kustahili kufananishwa na msonobari.
Karibu kila aina ya michoro ya kizamani ya kila mahali ulimwenguni ina alama za kufanana na viumbe wakubwa wa asili ya mamba. Mabaki ya kazi za mikono ya kizamani kutoka amerika kaskazini yanaashiria kuwako kwa dinosauri.
Katika mabaki yaliyopatikana bara asia na amerika kaskazini yana alama za miguu ya wanadamu na viumbe hawa dinosauri kithibitisho cha kuwako kwa viumbe hawa dinosauri duniani.
Kwa hivyo je, mna dinosauri katika biblia? Sisi katika GotQuestions.org tunaamini yakuwa wanadamu na dinosauri waliishi wakati sawa. Tunaamini dinosauri walikufa wakati wa gharika katika siku za Nuhu na pia kwa vile walikuwa wakiwindwa sana na wanadamu.
Twende sawa hadi tamati hata mimi mwenyewe nazidi kutambua kuwa hawa wadudu huwenda walikuwe.Ahsante mkuu nimejifunza kitu
Kwa muonekano wake na inacosemekana wale ni Jamii ya reptiles ila ni wakubwa!Ona sasa ulivyo danganywa na wew bila kufikiria unaanza kusadiki ili ukadanganye wenzio tangu lini mnyama akataga mayai?
Unajuwa brother mi labda nikwambie kwa ufahamu wangu Dinasaur ni myth tu sio kweli,Ni artist wa kizungu tu na storu zao,hakiwezi kuwepo kiumbe hasa katika dunia halafu kizazi chake kiseendelee.Hata zoology haija proven kuhsu hili, ni tunabakia tu kuwasoma katika vitabu na kuwaona katika movieNimesoma kwa juu habari ya hawa viumbe kwenye Ukurasa wa habari wa BBC SWAHILI (FACEBOOK) ila nimetaka kukua kwa undani viumbe hawa ambao inasemekana walikuwepo miaka takribani milioni 200 iliyopita.
Kwa mwenye kufahamu hawa Viumbe naomba anizibue ufahamu niwajue hata kidogo.
Hiyo ni dhahania ya sura yake jinsi walivyokuwaBora walipotea tu maana yanatishaa
Viumbe huwa wanapotea kutegemeana na mazingira ya maisha yao kwa mfano ujangili sasa hivi unatokomeza tembo na faru je baada ya miaka 2000 tembo na faru wakikosekana unadhani watakaokuwepo hawatasoma historia kwa vile yamepita?Unajuwa brother mi labda nikwambie kwa ufahamu wangu Dinasaur ni myth tu sio kweli,Ni artist wa kizungu tu na storu zao,hakiwezi kuwepo kiumbe hasa katika dunia halafu kizazi chake kiseendelee.Hata zoology haija proven kuhsu hili, ni tunabakia tu kuwasoma katika vitabu na kuwaona katika movie
Ni kweli lakini kupotea kabisa kabisa inakuwa ngumu halafu uangalie na hao viumbe wenyewe walivyo huwezi hata kuwakaribia walivyo wa kali kwa jinsi tunavooangalia katika historia,na huu ugaidi hakuanza leo tokea zamani upo.Halafu kawaida ya nature ya dunia hasa kitu kinakuwa hakiwezi kupotea kabisa kabisa.Hata nguva pia watu wanasema wapo wapo lakini ukweli uthibitisho haupo.Viumbe huwa wanapotea kutegemeana na mazingira ya maisha yao kwa mfano ujangili sasa hivi unatokomeza tembo na faru je baada ya miaka 2000 tembo na faru wakikosekana unadhani watakaokuwepo hawatasoma historia kwa vile yamepita?
Tupate burudani fupi kwanza(tunywe maji)Ni kweli lakini kupotea kabisa kabisa inakuwa ngumu halafu uangalie na hao viumbe wenyewe walivyo huwezi hata kuwakaribia walivyo wa kali kwa jinsi tunavooangalia katika historia,na huu ugaidi hakuanza leo tokea zamani upo.Halafu kawaida ya nature ya dunia hasa kitu kinakuwa hakiwezi kupotea kabisa kabisa.Hata nguva pia watu wanasema wapo wapo lakini ukweli uthibitisho haupo.
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi mzuri wa kiumbe hiki Dinosauri.Naiwasilisha kama nilivyo ikuta Mtandaoni.
Hili ni swali linalotokana na umri wa dunia tunayoikalia. kulengana na muda unaodhaniwa viumbe hawa waliishi, hakuna mwanadamu angekuwako kuwaona wakiishi. Biblia hutaja viumbe waliokuwa wakiitwa kwa kiebrania “tannyn’ kiumbe kikubwa chenye asili ya kufanana na mamba mkubwa. Tafsiri tofauti tofauti za neno hili la kiebrania ndizo zinachangia kiumbe hiki kuitwa dinosauri. Viumbe hawa wametajwa karibu mara thelathini katika agano la kale na wanapatikana nhi kavu na ndani ya maji.
Biblia inataja viumbe wengine ambao wanaitwa behemoth. hawa hutajwa kuwa wenye nguvu kuliko viumbe wote Mungu alivyoviumba wakubwa ambao mikia yao inafananishwa na msonobari (Ayubu 40:15 na kuendelea). Dinosauri alikuwa na mkia mkubwa hivyo kustahili kufananishwa na msonobari.
Karibu kila aina ya michoro ya kizamani ya kila mahali ulimwenguni ina alama za kufanana na viumbe wakubwa wa asili ya mamba. Mabaki ya kazi za mikono ya kizamani kutoka amerika kaskazini yanaashiria kuwako kwa dinosauri.
Katika mabaki yaliyopatikana bara asia na amerika kaskazini yana alama za miguu ya wanadamu na viumbe hawa dinosauri kithibitisho cha kuwako kwa viumbe hawa dinosauri duniani.
Kwa hivyo je, mna dinosauri katika biblia? Sisi katika GotQuestions.org tunaamini yakuwa wanadamu na dinosauri waliishi wakati sawa. Tunaamini dinosauri walikufa wakati wa gharika katika siku za Nuhu na pia kwa vile walikuwa wakiwindwa sana na wanadamu.
Kwenye ubora wako.... Asante sana kwa kuongezeaKilichofanya dinosaur kugundulika ni migupa yake iliyopatkana ktk uso wa dunia mfano hapa tz ilipatikana huko Lindi na hadi Leo ipo ujeruman kwani ndio waliichimbua kwenye miamba, kuhusu umbo lake hiyo design iliyopatikana baada ya kuunganisha ile mifupa yake na yeye ni jamii ya reptile (mjusi) hivyo anataga kama vile mamba chatu anaconda (sawaka), pia watu ambao hawakusoma au hawakuelewa TAXONOMY au sayansi ya kunyambulisha viumbe ktk makundi yao huchanganya maneno 'MNYAMA na MAMALIA' wao wanajua MNYAMA anazaa na kunyonyesha kumbe ni MAMALIA na MNYAMA ni tafsiri ya ANIMALIA ambalo ni kundi kubwa linalozungumzia Arthropods, chordates, annelids
Yaani nimeona post yako nimecheka sana, maana wewe kazi yako ni kubisha kila kitu bila na utafiti.dinosour ni uongo hakujawahi kuwa na wadudu kama hawa duniani,hawa wana-exist kwenye science fiction tu na huko ndiko walikobatizwa na kuwa science fact. kama mambo mengi tunayoamini kuwa ni ukweli huanza kwenye fiction hadithi ikishakolea na kujaa akilini mwa watu hugeuzwa kuwa fact, hakuna proof yeyote badala ya video za kutengeneza na photoshop na mifupa ya kughushi. pengine superman na spiderman watakuja kua fact baada 200 years
ni muendelezo wa uzushi tunaoaminishwa ili tuamini kuwa evolution ni ukweli na alien wapo pia.ili tuone the past ilikuwa ugly kwa hio na future pia inaweza kuwa ugly hii ni kuiweka akili katika mazingira ya woga kwenye maisha yote ya mwanadamu na tusiamini kuwa mwanadamu hakuumbwa bali wanatufundisha tuamini na evolution
na kama hii ni kweli mabaki yao yangeonekana kila pahala na zaidi hapa africa na sio hizo sehemu wanazosema wanayaona,evidence zote wanazoleta ni za kughushi,mifupa mabufuru ya vichwa kila kitu ni vya kutengeza
Yaani nimeona post yako nimecheka sana, maana wewe kazi yako ni kubisha kila kitu bila na utafiti.
Hujui kwamba kulikuwa na mabaki ya dinosaur huko Lindi ambayo Wajerumani waliyagundua na kuyapeleka Ujerumani. Mpaka leo yako makumbusho yao.
Kama ndefu kwann uquote[emoji15] [emoji15] halafu ndefu kinyama
hivi unaktaaa nini mkuu wakati unambiwa umri wa ulimwengu huu ni miaka takribani Bilioni 14 ..na ukiangalia umri wa existance ya mwnadamu ni takribani miaka 6000 mpkaa sasa ...Dinasour
Nguva
Aliens
Popo bawa
Wametungwa wote
Kiumbe kimekufa million 200 iliyopita wanavyodai lakini wanatuchorea mchoro wa dinasour alivyokuwa ,umbile lake lote .
Wanatuonyesha Aina za dinasours na wamewa categorize kwa makundi mbali mbali
Aina ya chakula walizokuwa wanakula
Idadi ya mayai waliyokuwa wanataga na life style yao kiujumla
Yaani kiumbe kimeondoka ulimwenguni 200million iliyopita wanavyodai walijuaje hayo yote kama siyo kutufunga kamba?.