Vitz T481Cfz....!! Inauzwa.

Vitz T481Cfz....!! Inauzwa.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
wadau.....
kwa mwenye uhitaji na sio longo longo....nauza ndinga yangu
a) Ni Vitz
b) Pink kwa rangi
c) cc 990
d) 1999
ipo kwenye hali nzuri sana. na kila kitu kipo. if you interested
Call...0652590519
 
Daah nakapendaga sana hako kagari sema ndo hivyo tena majalala ni moja kati ya gari ngumu na nzuri
 
Weka bei na picha bana...hata kama ciitaji mimi naweza mwambia mwingine so inaelezeka vizuri kama nikiona walau picha na nikijua bei unayoanza nayo..hyo nayo inahitaji elimu ya university mkuu kuyajua hayo?
 
ooh yeah....hii hii.....weka bei mkuu......
 
Back
Top Bottom