Vitz / Starlet / March / Passo moja inahitajika budget 4M Cash

Vitz / Starlet / March / Passo moja inahitajika budget 4M Cash

andycachy

Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
83
Reaction score
18
Wadau nahitaji gari moja kati ya hizo mwenye nayo na anauza kwa hiyo budget tufanye biashara
 
Ongeza 1.5m nkupe yangu mkuuu Mlg 20,000. Tu
 
Mimi ninayo duet ya 2003 ni very economical..km unataka niPM
 
Back
Top Bottom