Wadau naomba kama kuna mtu ana uzoefu na hili anisaidie, nimenunua vitz rs kwa mtu na katika kupiga mahesabu naona inaenda 8km per litre, sasa kwa uzoefu wangu ilipaswa angalau ifikishe 12km.
kama kuna mtu alishawahi kukutana na changamoto kama hiyo ili kabla sijaipeleka kwa fundi niwe na idea ni kitu gani cha kufanya.
Mkuu nazingatia sana jinsi ya kukanyaga accelerator, na pia naendesha kistaarabu sana siajawahi kuzidi 3 rpm, hua naishia 2.5 ila mara nyingi ni 1.5 hadi 2 basi, labda hizo sababu nyingine nyingine...May be uendeshaji wako, Every time mguu upo kwenye floor.
Okay tukija upande mwingine, matatizo ya engine huwa na sababu common.
Engine ni system ambayo iko balanced. Hivyo chochote kikizingia hiyo balance inatoka.
Tukianza kutaja sababu za engine kula mafuta vibaya, sababu zitafika 20 na zaidi [Utaweza kuzibeba zote kama zilivyo?].
Haya kila la heri.Mkuu nazingatia sana jinsi ya kukanyaga accelerator, na pia naendesha kistaarabu sana siajawahi kuzidi 3 rpm, hua naishia 2.5 ila mara nyingi ni 1.5 hadi 2 basi, labda hizo sababu nyingine nyingine...
240,000
240,000 ni namba C
Kwa milage hiyo lazima gari yako Ile mafuta Tu wala hakuna haja ya kutafuta sababu nyingine240,000
240,000 ni namba C
Kuna shida kubwa hapo hiyo ni consumption ya engine kubwaWadau naomba kama kuna mtu ana uzoefu na hili anisaidie, nimenunua vitz rs kwa mtu na katika kupiga mahesabu naona inaenda 8km per litre, sasa kwa uzoefu wangu ilipaswa angalau ifikishe 12km.
kama kuna mtu alishawahi kukutana na changamoto kama hiyo ili kabla sijaipeleka kwa fundi niwe na idea ni kitu gani cha kufanya.
Mkuu engine imefikisha milage 240,000 hapo atabadili kila kitu na gari bado itakula Tu mafutaBadili plugs na cheki mfumo wa hewa, filter huenda imechoka. Cheki pia na nozzle kama hazivujishi wese pamoja na coils.
Kama kote hamna ishu pima compression.
Mkuu engine imefikisha milage 240,000 hapo atabadili kila kitu na gari bado itakula Tu mafuta
Imechoka sanaMkuu engine imefikisha milage 240,000 hapo atabadili kila kitu na gari bado itakula Tu mafuta
sio kesi hata, chukulia mfano gari yako mafuta yapo very low, ukaenda sheli ukaweka lita kumi, ukatembea km 100 mafuta yakawa kama yalivyokua before (very low) means gari yako approximately inatembea 10km/l (100km/10ltr)Tujuzane jinsi gani ya ku calculate hiyo rate sababu mi najazaga tu napiga misele kitaa kikiwaka najaza tena. So mnapataje kusema gari inakula mafuta lita moja kwa kilomita kadhaa?
Weka mafuta litre kadhAa Kisha nenda km kadhAa utajuaTujuzane jinsi gani ya ku calculate hiyo rate sababu mi najazaga tu napiga misele kitaa kikiwaka najaza tena. So mnapataje kusema gari inakula mafuta lita moja kwa kilomita kadhaa?
Najaribu kufikiria sababu iliyokufanya ununue mkoko uliotembea km nyingi kiasi hiko hasa kwa hizi gari zenye cc less than 1500 nakosa! Hiyo engine ni suala la mda tu lkn hauna mda mrefu utapiga overhaul...!240,000
240,000 ni namba C