Panga Makalikuwili
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 291
- 432
Kila senti ya tozo itakayotumika kwa ajili ya shuguli za maendeleo ya wananchi ni vyema iwekwe wazi kuwa ni michango ya wananchi imefanikisha jambo hilo.
Kwa sababu tozo hizi zinakatwa kama michango ya lazima kugalamia maendeleo ya nchi.Ni kama nguvu ya uma inajenga nchi bila kujali itikadi za kisiasa.
Sasa isije tokea chama fulani wakati wa kampeni za uchaguzi kinatumia matunda yaliyotokana na tozo kwa manufaa ya chama.Hivyo basi ingekuwa vizuri kama vituo vyote vya afya vitakavyojengwa kwa pesa ya tozo viandikwe kwa maandishi yanayoonekana kuwa KIMEJENGWA KWA PESA YA TOZO (NGUVU YA WANANCHI)