Vituo vyote vya afya vitakavyojengwa kwa pesa ya tozo, viwekwe wazi kuwa ni nguvu ya wananchi

Panga Makalikuwili

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
291
432
Kila senti ya tozo itakayotumika kwa ajili ya shuguli za maendeleo ya wananchi ni vyema iwekwe wazi kuwa ni michango ya wananchi imefanikisha jambo hilo.

Kwa sababu tozo hizi zinakatwa kama michango ya lazima kugalamia maendeleo ya nchi.Ni kama nguvu ya uma inajenga nchi bila kujali itikadi za kisiasa.

Sasa isije tokea chama fulani wakati wa kampeni za uchaguzi kinatumia matunda yaliyotokana na tozo kwa manufaa ya chama.Hivyo basi ingekuwa vizuri kama vituo vyote vya afya vitakavyojengwa kwa pesa ya tozo viandikwe kwa maandishi yanayoonekana kuwa KIMEJENGWA KWA PESA YA TOZO (NGUVU YA WANANCHI)
 
Watanzania mnapenda mtelemko baada ya mafanikio....mwanzo mlimkashifu Mama Samia, Sasa hivi baada ya mafanikio mnataka mtajwe!

Wengine hawatotajwa kwa sababu wamegomea kuchangia kwa kukwepa kufanya miamala...
 
Kila senti ya tozo itakayotumika kwa ajili ya shuguli za maendeleo ya wananchi ni vyema iwekwe wazi kuwa ni michango ya wananchi imefanikisha jambo hilo.

Kwa sababu tozo hizi zinakatwa kama michango ya lazima kugalamia maendeleo ya nchi.Ni kama nguvu ya uma inajenga nchi bila kujali itikadi za kisiasa.

Sasa isije tokea chama fulani wakati wa kampeni za uchaguzi kinatumia matunda yaliyotokana na tozo kwa manufaa ya chama.Hivyo basi ingekuwa vizuri kama vituo vyote vya afya vitakavyojengwa kwa pesa ya tozo viandikwe kwa maandishi yanayoonekana kuwa KIMEJENGWA KWA PESA YA TOZO (NGUVU YA WANANCHI)
watakuambia vimejengwa na ilani ya chama😢
 
Hivi kuna kitu chochote cha serikali kiliishajengwa kwa nguvu za mtu binafsi?
mataga hayatakuelewa hapa.yaani humu sijuo km wamesoma hawa tunaweza kuwa tunaongea na watu wa hovyo sana. Humu vitoto vya shule...walevi....wachungaa mbuzi
 
Tatizo vinanasibishwa na chama cha mapinduzi na Rais wakati ni nguvu ya umma bila kujali itikadi za kisiasa.
wakwepa kodi na mafisadi wamelundikana ccm huko.
Hivi kuna kitu chochote cha serikali kiliishajengwa kwa nguvu za mtu binafsi?
 
Kila senti ya tozo itakayotumika kwa ajili ya shuguli za maendeleo ya wananchi ni vyema iwekwe wazi kuwa ni michango ya wananchi imefanikisha jambo hilo.

Kwa sababu tozo hizi zinakatwa kama michango ya lazima kugalamia maendeleo ya nchi.Ni kama nguvu ya uma inajenga nchi bila kujali itikadi za kisiasa.

Sasa isije tokea chama fulani wakati wa kampeni za uchaguzi kinatumia matunda yaliyotokana na tozo kwa manufaa ya chama.Hivyo basi ingekuwa vizuri kama vituo vyote vya afya vitakavyojengwa kwa pesa ya tozo viandikwe kwa maandishi yanayoonekana kuwa KIMEJENGWA KWA PESA YA TOZO (NGUVU YA WANANCHI)
Vyote vinavyofanywa kwa asilimia kubwa vinatokana na nguvu ya Wananchi kupitia Kodi/Tax Makato, Michango Mikopo N.K.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom